Arusha: Walimu wote wa Serikali watakiwa kujitokeza uwanjani kesho Sheikh Amri Abeid kumpokea na kumsikiliza Katibu Mkuu wa CCM

Kuna meseji zinatembea za magrupu zikiwataka walimu wa jiji la Arusha wale wa serikali kwenda uwanja wa Sheikh Amri Abeid kesho jumamosi kuanzia saa 1:00 asubuhi kwa ajili ya kuhudhuria ziara ya katibu mkuu wa ccm, Ndugu Chongolo.

NB:
Walimu wanatakiwa kujigharamia nauli na chakula katika ziara hiyo.
Cc: Mpwayungu Village
Yaani kupoteza muda kumsikiliza kiazi Chongoro
 
To be honest, kwa Tanzanian, ualimu sio kazi

ni umaskini tu unatufanya tuung'ang'anie, hasa shule za serikali

Walimu hawana misimamo, Hadi mtendaji wa Kijiji (form four failure anawatingisha)

Hii hapana,
Shida ni viongozi katika chama chao waliopale ni mliki tu ,pia ni namna walimu wenyewe wasivyojidhamini, yani wapo wapo kujipendekeza na kutaka vitu vyepesi , awa ni watu muhimu ila hajitambui kabisa wapo wapo tu,
 
Ukiwa Mtumishi wa Umma unaheshimu serikali iliyopo madarakani kwani hiyo serikali ndio Boss wako.Katibu mkuu wa CCM yupo huko Arusha Kwa niaba ya Mhe.Rais ambaye ndiye Mwenyekiti Wa Chama CCM..
Sio mbaya Kwa wao kwenda kumsikiliza Katibu Mkuu wa CCM...Nadhani mleta thread ni Wivu tu unakusumbua Kwa kuwa Serikali ya Mhe.Samia inavyofanya kazi nzuri na unajua Mkutano huo unaenda kuvuruga kila kitu huko Arusha..
CCM inapendwa sana,Serikali ya Mhe.Dkt.Samia inapendwa sana na inazidi kufanya makubwa Kwa Walimu na Watumishi wote wa Umma..
Cheki hili tikiti
 
Maoni yeni nimeyaona kwenye comment yangu....Karibuni wote kwenye mkutano na kama upo nje ya Arusha usisite pia kufuatilia kwenye TV...
 
Ukiwa Mtumishi wa Umma unaheshimu serikali iliyopo madarakani kwani hiyo serikali ndio Boss wako.Katibu mkuu wa CCM yupo huko Arusha Kwa niaba ya Mhe.Rais ambaye ndiye Mwenyekiti Wa Chama CCM..
Sio mbaya Kwa wao kwenda kumsikiliza Katibu Mkuu wa CCM...Nadhani mleta thread ni Wivu tu unakusumbua Kwa kuwa Serikali ya Mhe.Samia inavyofanya kazi nzuri na unajua Mkutano huo unaenda kuvuruga kila kitu huko Arusha..
CCM inapendwa sana,Serikali ya Mhe.Dkt.Samia inapendwa sana na inazidi kufanya makubwa Kwa Walimu na Watumishi wote wa Umma..
Hujitambui
 
Kuna meseji zinatembea za magrupu zikiwataka walimu wa jiji la Arusha wale wa serikali kwenda uwanja wa Sheikh Amri Abeid kesho jumamosi kuanzia saa 1:00 asubuhi kwa ajili ya kuhudhuria ziara ya katibu mkuu wa ccm, Ndugu Chongolo.

NB:
Walimu wanatakiwa kujigharamia nauli na chakula katika ziara hiyo.
Cc: Mpwayungu Village
Hata wao mioyoni mwao hawaupendi uongozi uliopo sema tu wataenda ili kulinda ajira zao
 
Watakuwa hawana akili kama wakienda. Anyways si ndio huwa wanashiriki kuiba kura?

Back
Top Bottom