Arusha Walking Fitness route Tuanze Mazoezi ya Kutembea Kila Weekend Ili Kuweka Mwili Sawa!.. waliopo Arusha tu

Street brain

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2022
Posts
681
Reaction score
923
Habari wanajf!!! Nimeamua kuanzisha group ili ili tuweze kufanya mazoezi ya kutembea pamoja kila siku ya weekend (Saturday na Sunday).
 
Ni wazo zuri, lakini nadhani kundi lisizidi watu watatu. Kwa miaka mingi, kutembea ilikuwa sehemu ya zoezi langu pendwa. Nimefahamu sehemu nyingi za Dar kwa kutembea.
 
Dah! Inanikumbusha takriban miaka ishirini na tano iliyopita kulikuwa na klabu ya watu influential Arusha pale AICC Kijenge ikiongozwa na hayati Dr Makange.
Hawa kila weekends hufanya mazoezi General Tyre asubuhi na mapema kisha huhamia AICC club siku nzima ni bia kwa nyama choma
Miaka mingi nimetoka Chugga and I miss its flavour.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…