Katika pita pita zangu mikoa mbali mbali hapa Tanzania, ARUSHA wamejitofautisha sana na mikoa mingine mingi hapa nchini kwa sbb hotel au lodge ya kawaida tu wana service ya Wifi kitu ambacho huwezi kukipata mikoa mingine hapa nchini.
Kwa hili Arusha niwape maua yenu, Mikoa mingine igeni basi lodge ya 40,000 au 30,000 haina wifi kwa mikoa mingi. DUnia ya sasa ni teknolojia na habari zote unazipata kupita mitandao ya kijamii. Tokeni huko mliko