Yeah!....wanajitahidi sanaArusha ni mji wa kitalii, una wageni wengi kutoka nje ya nchi
Na pia nyingi ya hizo wana huduma ya kifungua kinywa. Mikoa mingine unalala sehemu nzuri ila habari ya chai asubuhi ni mpaka uweke order. Arusha ukiamka tu meza imechafuka mapochopocho ni wewe na hela yako, sometimes gharama zinakuwa kwenye package.
Katika pita pita zangu mikoa mbali mbali hapa Tanzania, ARUSHA wamejitofautisha sana na mikoa mingine mingi hapa nchini kwa sbb hotel au lodge ya kawaida tu wana service ya Wifi kitu ambacho huwezi kukipata mikoa mingine hapa nchini.
Kwa hili Arusha niwape maua yenu, Mikoa mingine igeni basi lodge ya 40,000 au 30,000 haina wifi kwa mikoa mingi. DUnia ya sasa ni teknolojia na habari zote unazipata kupita mitandao ya kijamii. Tokeni huko mliko
Umepita mikoa mingapi we boya... Mi niko bar hapa natumia wifi ya bar bure...Katika pita pita zangu mikoa mbali mbali hapa Tanzania, ARUSHA wamejitofautisha sana na mikoa mingine mingi hapa nchini kwa sbb hotel au lodge ya kawaida tu wana service ya Wifi kitu ambacho huwezi kukipata mikoa mingine hapa nchini.
Kwa hili Arusha niwape maua yenu, Mikoa mingine igeni basi lodge ya 40,000 au 30,000 haina wifi kwa mikoa mingi. DUnia ya sasa ni teknolojia na habari zote unazipata kupita mitandao ya kijamii. Tokeni huko mliko
Nimeenda morogoro lodge za elf 15 zina WIFi
Hapo wabongo wataenda kuangalia porn tuu.Katika pita pita zangu mikoa mbali mbali hapa Tanzania, ARUSHA wamejitofautisha sana na mikoa mingine mingi hapa nchini kwa sbb hotel au lodge ya kawaida tu wana service ya Wifi kitu ambacho huwezi kukipata mikoa mingine hapa nchini.
Kwa hili Arusha niwape maua yenu, Mikoa mingine igeni basi lodge ya 40,000 au 30,000 haina wifi kwa mikoa mingi. DUnia ya sasa ni teknolojia na habari zote unazipata kupita mitandao ya kijamii. Tokeni huko mliko
Hakuna tatizoHapo wabongo wataenda kuangalia porn tuu.