johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Labda ni dalili za mvua bwashee!Nilidhani ya covido
Wana ubavu huo, yale ma TOGWA YAO, ndio wanaita dawa ya covid 19!!!hahaaa!!leo kuna jibanda kubwa limezinduliwa pale Muhimbili la nyungu eti la kuua virus!!! Hii nchi bwana.Bwashee hizi chanjo mmezitengeneza hapa hapa au mmeletewa??
Hii chanjo mmeitengeneza hapo Lumumba au imetoka kwa mabeberu?Jumla ya watoto 104,000 wenye umri kati ya miaka 5 hadi 14 wamechanjwa Chanjo ya kichocho na minyoo mkoani Arusha.
Source Upendo tv
Maendeleo hayana vyama!
Nimr!Hii chanjo mmeitengeneza hapo Lumumba au imetoka kwa mabeberu?
Tuanzie hapo kwanza.
Za hapa hapa manka!Bwashee hizi chanjo mmezitengeneza hapa hapa au mmeletewa??
Jumla ya watoto 104,000 wenye umri kati ya miaka 5 hadi 14 wamechanjwa Chanjo ya kichocho na minyoo mkoani Arusha.
Source Upendo tv
Maendeleo hayana vyama!
Nimr!
Ya hapa hapa!Bwasheee hiyo chanjo tumeitengeneza sisi wenyewe au ni kutoka kwa MABEBERU wasiotutakia mema?
Ya hapa hapa!
Chanjo imetengenezwa Wapi?Jumla ya watoto 104,000 wenye umri kati ya miaka 5 hadi 14 wamechanjwa Chanjo ya kichocho na minyoo mkoani Arusha.
Source Upendo tv
Maendeleo hayana vyama!
Nauliza hizi chanjo tulizitengeneza wenyewe pale NIMR?Jumla ya watoto 104,000 wenye umri kati ya miaka 5 hadi 14 wamechanjwa Chanjo ya kichocho na minyoo mkoani Arusha.
Source Upendo tv
Maendeleo hayana vyama!
Hii sahauNilidhani ya covido
Tumia nimrcaf!Nilidhani ya covido