johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
- Thread starter
- #21
Kwanini?!Hii sahau
Kwanini?!Hii sahau
Akijibu nijulishe mkuu....Bwashee kuweka rekodi sawa unaweza ukatupa info zaidi hiyo chanjo ya NIMR inaitwaje?
Chanjo yetu ni kujivukizaKwanini?!
Kujifukiza siyo chanjo manka ni tiba mbadala!Chanjo yetu ni kujivukiza
Poa mkuu nitakustua ,ningependa tujue jina la hiyo chanjo waliyotengeneza NIMR.Akijibu nijulishe mkuu....
Hii ni chachandu iliyochangamka bwasheeTumia nimrcaf!
Tuliomba omba huko na huko mkuu,zikaletwa tu wala hatukujua zimetoka nchi gani,halafu zimeandikwa vimaneno vigumuuu!!Bwashee hizi chanjo mmezitengeneza hapa hapa au mmeletewa?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umeamua uchutame tu...nimekuelewa bwashee hahahahahZa hapa hapa manka!
Kwa hisani ya watu wa Marekani (Mabeberu).Jumla ya watoto 104,000 wenye umri kati ya miaka 5 hadi 14 wamechanjwa Chanjo ya kichocho na minyoo mkoani Arusha.
Source Upendo tv
Maendeleo hayana vyama!