Arusha: Watoto wawili watuhumiwa kumlawiti mdogo wao baada ya baba na mama kuikimbia familia

Hivi chanzo ni nini mpaka maadili yameporomoka kiasi hiki?? Watoto umri huu wamefahamu vipi haya mambo?

Halafu mama unawezaje kuwaacha watoto umri huo peke yao??

Mungu atupiganie sana Dunia sio sehemu salama tena
 
Nilijua haya mambo ni Zanzibar tu. "In Wagalatia voice"
 
Maisha yanaendaje kasi sana sio tena dada kaingiliwa na kaka yake bali mdogo wao wamemwingilia, so sad 😢
 
Hivi chanzo ni nini mpaka maadili yameporomoka kiasi hiki?? Watoto umri huu wamefahamu vipi haya mambo?

Halafu mama unawezaje kuwaacha watoto umri huo peke yao??

Mungu atupiganie sana Dunia sio sehemu salama tena
Chanzo tunapoteza maadili yetu na kuingiza tamaduni mpya za hovyo.
 
Shetani alipewa nafasi kutawala familia hii, kidogo kidogo akajipenyeza kupitia tamaa na uvivu. Kisha akahamia kwenye mahusiano duni ya mke na mume, ndipo akamalizia kwenye hilo la ulawiti. Sasa kijana kishaharibika kabisa . Sijui kama ataweza kuacha.
 
Tumesema time and again haya mambo yanaanza au kupingwa at a family-level. Nyie mpo busy kutaka serikali iwaambie nini cha kufanya. Msipolea watoto wenu watalelewa na dunia na haya ndo matokeo yake. Serikali has nothing to do with it.

Cc: cocastic kiboko yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…