MR TOXIC
Senior Member
- Jun 4, 2019
- 190
- 525
Taarifa kutoka ofisi ya Rais-Tamisemi jioni hii ni kwamba watumishi wawili ambao ni afisa elimu(msingi) na muuguzi msaidizi hospitali ya mkoa wa Arusha wachukuliwa hatua za kinidhamu baada ya video kuvuja wakifanya igizo la chanjo ya corona ambayo watanzania wengi hawaonyeshi kukubaliana nayo.
Pia soma > #COVID19 - Afisa Elimu Mkoa wa Arusha na Muuguzi waliofanya maigizo ya chanjo wasimamishwe kazi mara moja
Soma taarifa kamili kwa chini
Barua ya Muuguzi Scolastica kusimamishwa kazi
PIA, SOMA:
- Arusha: Aliyesimamishwa kwa mzaha wa chanjo ashangazwa na hatua dhidi yake