#COVID19 Arusha: Watumishi waliofanya igizo kwenye chanjo ya Corona wasimamishwa kazi

#COVID19 Arusha: Watumishi waliofanya igizo kwenye chanjo ya Corona wasimamishwa kazi

Acha aliwe kichwa tu maana kwa vodea of good conducts
Angekuwa Serikalini hachomoki but she did for the good will of promoting the so called "chanjo"
Hata DEO "ONYO" litamuhusuView attachment 1883102
Sasa kama alikuwa hana nia ya kupata chanjo alienda kufanya nini na video wanachukua? Kati ya watu wataomuona bonge la fala ni mkewe
 
Sasa kama alikuwa hana nia ya kupata chanjo alienda kufanya nini na video wanachukua? Kati ya watu wataomuona bonge la fala ni mkewe
Alikuwa anasaka "kutambulika zaidi" maisha kujipendekeza bwana !!!!!!
 
CHADEMA waanzishee movement ya kuwatetea hawa jamaa haraka iwezekanavyo na iongozwe na mbelgiji wa ikungi...
Umalaya wenu unasura nyingi Sana na mnazionyesha mnapomuwaza Tundu Mwanaume Antipas Mughway Lissu
 
Taarifa kutoka ofisi ya Rais-Tamisemi jioni hii ni kwamba watumishi wawili ambao ni afisa elimu(msingi) na muuguzi msaidizi hospitali ya mkoa wa Arusha wachukuliwa hatua za kinidhamu baada ya video kuvuja wakifanya igizo la chanjo ya corona ambayo watanzania wengi hawaonyeshi kukubaliana nayo.

Pia soma > #COVID19 - Afisa Elimu Mkoa wa Arusha na Muuguzi waliofanya maigizo ya chanjo wasimamishwe kazi mara moja

Soma taarifa kamili kwa chini

View attachment 1882948


Barua ya Muuguzi Scolastica kusimamishwa kazi
View attachment 1882988

View attachment 1882971
Dahh... Mzaha mzahaa....
Maisha haya yalivyo sasa...
 
Kosa la muuguzi maana huyo afisa amemuuliza tayari? Huyo anayehadithia na yeye hajatulia sasa ndio nini kusema anachoma kovid19??
 
Sasa hawa akili hawana yaani wanaigiza kiboya hivyo? Ila ujue nini za mwizi huwa ni 40,Hawa sio tuu kufutwa Kazi bali mahakama iwahusu.
 
Na mada kinzanifu kuhusu chanjo za corona kufutiliwa mbali kwenye mitandao ya kijamii, zitabaki za kusapoti tu
 
Muigizaji mkuu yuko ikulu ametulia tulii na ushungi wake anakula kiyoyozi!

Yeye keshadungwa maziwa ameketi anawacheki tu kwenye TV !

Tuanze na huyo kwanza!
 
Hilo igizo lingefanikiwa hakika walimu wangeshughulikiwa ipasavyo. "Kama afisa wako kachanjwa wewe ni nani uingie darasani hujachanjwa... " Na walimu walivyo na utii mamboleo !!
Kwa hiyo wewe unaamini kuwa chanjo SIO ya muhimu...Sasa mnaokataa leteni basi ya kwenu itusaidie?Kwani weupe wakitaka kukuhujumu lazima wapitie chanjo?Mitumba tu tunayovaa ni yao mosquito net tulipewa hapa za kutosha!!! Speed zenu za nyungu zimekwama waafrika bure kelele za nini.Kuna tunachokielewa Sisi tuitikie tu ndio afande acheni maigizo ya kupinga chanjo!!Na huu utafiti kuwa zina madhara mlifanyia wapi?Kwenye maabara ya nyungu....MAMA SAMIA KAMATA WOTE WANAODHOOFISHA JUHUDI ZA KUPAMBANA NA COVID 19. Loo! nachukia sana hizo propaganda za mitandaoni kwa sababu zinaharibu jamii.Leo hii kuna sehemu watoto wakiona gari ya chanjo za watoto chini ya MIAKA 5 wanakimbia.Tutumie mitandao kwa faida! Lakini SIO kwa upuuzi huu!!!
 
Back
Top Bottom