#COVID19 Arusha: Watumishi waliofanya igizo kwenye chanjo ya Corona wasimamishwa kazi

#COVID19 Arusha: Watumishi waliofanya igizo kwenye chanjo ya Corona wasimamishwa kazi

Utumishi wa Umma Wa TAnzania ni Utumwa....
Balaza la Wauguzi limekuwa kimya wanachama wake wakihudumia wagonjwa wa covid-19 bil vifaa vya kujikinga ila kwenye kutoa matamko wanaibuka kwa speed ya 4G.
Pumbavu zenu TNMC mnakula hela zetu za Leseni bure, ipo siku yenu!
 
Kumbe Rev. Bishop Josephat Gwajima yuko sahihi, kwamba, hakuna aliyechanjwa chanjo siku ile ya uzinduki kitaifa bali yote yale yalikuwa ni maigizo tu...!

Proof ya hili ni huku kukiri kwao kupitia hawa maafisa wawili wa serikali. Kwa hakika kabisa, hawa wanachukuliwa hatua si kwa sababu nyingine iwayo yoyote bali ni kushindwa kwao kuuvaa uhusika kikamilifu wa kuigiza....!!!
 
Kosa lao sio kuigiza kosa lao ni kufanya igizo vibaya walitakiwa kufanya igizo vizuri kama Jokate Mwigole
 
Hapa bado sijaelewa vizuri taarifa haijakamilika baada ya kumaliza hilo zoezi alimpa cheti? Na kama alituma mtandaoni kuna maneno yoyote ya uchochezi aliyaandika? Kama jibu ni hapana sioni kosa hapo
 
Hapa bado sijaelewa vizuri taarifa haijakamilika baada ya kumaliza hilo zoezi alimpa cheti?na kama alituma mtandaoni kuna maneno yoyote ya uchochezi aliyaandika?Kama jibu ni hapana sioni kosa hapo
Kaitizame tena ni kuwa huyo Nurse hakumchoma sindano yoyote huyo Afisa Elimu na bado waliibeza Serikali na chanjo ya UVIKO hasa pale anapokosea tarehe au kuulizia cheti kwani haukuwa hivyo huo utaratibu nzima. Huwezi toka utokake ukaigize uongo Serikalini kwani Chanjo ni hiari asingewabeza waliochanjwa
 
CHADEMA waanzishee movement ya kuwatetea hawa jamaa haraka iwezekanavyo na iongozwe na mbelgiji wa ikungi...
yaani hao CHADEMA piga ndani wote, mpaka wakumbuke kile kipigo cha mbwakoko hapa Arusha wakati wa Ndesa na mke wa Slaa
hawana adabu kabisa sisi tunazungumzia uchanjaji wao wanaleta ugaidi
Mbona kipindi cha Mwendazake jamaa wa Ikungi alikimbia Nchi bila kukimbizwa?
 
Acha aliwe kichwa tu maana kwa vodea of good conducts
Angekuwa Serikalini hachomoki but she did for the good will of promoting the so called "chanjo"
Hata DEO "ONYO" litamuhusu
IMG-20210806-WA0087.jpg
 
yaani hao CHADEMA piga ndani wote, mpaka wakumbuke kile kipigo cha mbwakoko hapa Arusha wakati wa Ndesa na mke wa Slaa
hawana adabu kabisa sisi tunazungumzia uchanjaji wao wanaleta ugaidi
Mbona kipindi cha Mwendazake jamaa wa Ikungi alikimbia Nchi bila kukimbizwa?
CHADEMA waanzishee movement ya kuwatetea hawa jamaa haraka iwezekanavyo na iongozwe na mbelgiji wa ikungi...
Siku yaki kukuta utakuja kufuta huu ujinga
 
Hao wajinga walidhamiria kufanya hilo igizo ili kuwaaminisha wananchi wanaosema wamechanjwa sio wakweli, naunga mkono achukuliwe hatua za kinidhamu huyo muuguzi ana akili ndogo sana.
Hilo igizo lingefanikiwa hakika walimu wangeshughulikiwa ipasavyo. "Kama afisa wako kachanjwa wewe ni nani uingie darasani hujachanjwa... " Na walimu walivyo na utii mamboleo !!
 
Back
Top Bottom