Taarifa kutoka ofisi ya Rais-Tamisemi jioni hii ni kwamba watumishi wawili ambao ni afisa elimu(msingi) na muuguzi msaidizi hospitali ya mkoa wa Arusha wachukuliwa hatua za kinidhamu baada ya video kuvuja wakifanya igizo la chanjo ya corona ambayo watanzania wengi hawaonyeshi kukubaliana nayo.

Hao wajinga walidhamiria kufanya hilo igizo ili kuwaaminisha wananchi wanaosema wamechanjwa sio wakweli, naunga mkono achukuliwe hatua za kinidhamu huyo muuguzi ana akili ndogo sana.
Update.
Utetezi alioutoa huyo Afisa Elimu umenifanya nitake apewe nafasi ya kujitetea kabla hajahukumiwa, kwa umri wake nikimuangalia anaonekana mtu mzima sana, kufanya ule utoto unaoonekana kwenye ile video napata shaka, zaidi anasema ile video imechezewa na chanjo alishachanja na ushahidi anao.