Kivumishi Kielezi
JF-Expert Member
- Nov 1, 2019
- 1,028
- 2,451
Mimi nilipiga nyungu na niko fiti.Speed zenu za nyungu zimekwama
kitendo cha kuwachukulia hatua muuguzi na Afisa elimu Arusha nimefurahi kidogo
hongera sana baraza la Wauguzi na wakunga
hongera sana wizara ya Afya
hongera sana OR Tamisemi
lakini kiukweli sijaridhishwa kabisa na hatua zilizochukuliwa
ilitakiwa hawa watu kwanza wawekwe ndani kwa saa 48,
kisha wafukuzwe kazi kabisa sio kusimamishwa,
mambo serious wao wanaleta mizaha ya kijinga,
serikali na wizara wanajitahidi kuelimisha Raia wake ili tupone na janga hili la dunia halafu wapuuzi wachache wanaleta ujinga, ni dharau dhidi ya Rais au?
hawa watu wawekwe ndani mara moja
Hujui unachokiongea.Hawa watu wanajua athari za hiyo,chanjo ndio maana wanafanya hivyo.Kimsingi ni kwamba wanapenda kazi zao,lakini pia hawapendi kuchanja.It is an extremely hard choice to make.kitendo cha kuwachukulia hatua muuguzi na Afisa elimu Arusha nimefurahi kidogo
hongera sana baraza la Wauguzi na wakunga
hongera sana wizara ya Afya
hongera sana OR Tamisemi
lakini kiukweli sijaridhishwa kabisa na hatua zilizochukuliwa
ilitakiwa hawa watu kwanza wawekwe ndani kwa saa 48,
kisha wafukuzwe kazi kabisa sio kusimamishwa,
mambo serious wao wanaleta mizaha ya kijinga,
serikali na wizara wanajitahidi kuelimisha Raia wake ili tupone na janga hili la dunia halafu wapuuzi wachache wanaleta ujinga, ni dharau dhidi ya Rais au?
hawa watu wawekwe ndani mara moja
huoni kwamba wewe ndiye hujui unachoongea? halafu acha wehuHujui unachokiongea.Hawa watu wanajua athari za hiyo chanjo ndio maana wanafanya hivyo.Kimsingi ni kwamba wannapenda kazi zao lakini pia hawapendi kuchanja.
hawa walishauri watu watumie njia asilia, wakati huo chanjo haijawa distributed duniani, ulitaka wafanyeje, ?View attachment 1883773
View attachment 1883774Huyu na wenzake tuwachukulie hatua gani kwa mizaha waliyofanya na watu wengi kupoteza maisha hasa miezi ya January na February?
Hawa walijua upande na njia zipi ni sahihi na wakabaki kufuata njia iliyo sahihi..
Hawa adhabu yao na wataaluma wengine kama Kigwangalla waliosomeshwa kwa pesa za umma ila wakaja kuidhalilisha fani tuwape adhabu gani?
Duh amakweli kuwa uyaone.View attachment 1883773
View attachment 1883774Huyu na wenzake tuwachukulie hatua gani kwa mizaha waliyofanya na watu wengi kupoteza maisha hasa miezi ya January na February?
Hawa walijua upande na njia zipi ni sahihi na wakabaki kufuata njia iliyo sahihi..
Hawa adhabu yao na wataaluma wengine kama Kigwangalla waliosomeshwa kwa pesa za umma ila wakaja kuidhalilisha fani tuwape adhabu gani?
Serikali ipi inayojitahidi na waziri yupi Gwajima?.....hahahaha utakuwa umechanganyikiwa bwasheekitendo cha kuwachukulia hatua muuguzi na Afisa elimu Arusha nimefurahi kidogo
hongera sana baraza la Wauguzi na wakunga
hongera sana wizara ya Afya
hongera sana OR Tamisemi
lakini kiukweli sijaridhishwa kabisa na hatua zilizochukuliwa
ilitakiwa hawa watu kwanza wawekwe ndani kwa saa 48,
kisha wafukuzwe kazi kabisa sio kusimamishwa,
mambo serious wao wanaleta mizaha ya kijinga,
serikali na wizara wanajitahidi kuelimisha Raia wake ili tupone na janga hili la dunia halafu wapuuzi wachache wanaleta ujinga, ni dharau dhidi ya Rais au?
hawa watu wawekwe ndani mara moja
Unapo ongea with facts,bila facts unaonekana mjinga.Wakati Ulaya wanaandamana kupinga chanjo, ninyi mnaunga mkono chanjo,very stupid indeed.Angalia attachements zifuatazo labda utazinduka.huoni kwamba wewe ndiye hujui unachoongea? halafu acha wehu
Muache kutuchosha bure hapa, wote hamjui nnachokiongea, wote mnategemea taarifa za nani kasema nini, kifupi wote mnachokijua kinatokana na mitazamo/maoni ya watu wengine afu mnatuletea ujuaji humu.huoni kwamba wewe ndiye hujui unachoongea? halafu acha wehu
Sio kweli chanjo ilianza kutolewa Mwezi December ila soma hapa chini statement ya February Tanzania iliyotoa kuhusu chanjo..hawa walishauri watu watumie njia asilia, wakati huo chanjo haijawa distributed duniani, ulitaka wafanyeje, ?
Kwa kuwachanja Watanzania chanjo ya Corona,Serikali imekiuka the Nurembeg Code,na ipo haja ya Wanasheria kuungana na kuipeleka mahakamani.huoni kwamba wewe ndiye hujui unachoongea? halafu acha wehu
Unapo ongea with facts,bila facts unaonekana mjinga.Wakati Ulaya wanaandamana kupinga chanjo, ninyi mnaunga mkono chanjo,very stupid indeed.Angalia attachements zifuatazo labda utazinduka.
View attachment 1883795
Lete za kwako basi zinazopinga hoja.attachm
ents za kijinga upumbavu mtupu
Ila watu wengine akili zao! Kulikuwa na umuhimu gani wa kurekodi na kusambaza?Hao wajinga walidhamiria kufanya hilo igizo ili kuwaaminisha wananchi wanaosema wamechanjwa sio wakweli, naunga mkono achukuliwe hatua za kinidhamu huyo muuguzi ana akili ndogo sana.
Update.
Utetezi alioutoa huyo Afisa Elimu umenifanya nitake apewe nafasi ya kujitetea kabla hajahukumiwa, kwa umri wake nikimuangalia anaonekana mtu mzima sana, kufanya ule utoto unaoonekana kwenye ile video napata shaka, zaidi anasema ile video imechezewa na chanjo alishachanja na ushahidi anao.