trachomatis JF-Expert Member Joined Jun 7, 2011 Posts 3,758 Reaction score 744 Aug 7, 2021 #81 Mathanzua said: Unapo ongea with facts,bila facts unaonekana mjinga.Wakati Ulaya wanaandamana kupinga chanjo, ninyi mnaunga mkono chanjo,very stupid indeed.Angalia attachements zifuatazo labda utazinduka. View attachment 1883795 Click to expand... We mdau umetafuta hicho kitabu ukaona ni kweli kuna hayo maandishi?? Ukifowadiwa vitu na wewe kachunguze kwanza kabla hujafowadi kupotosha zaidi... Lete ukurasa...
Mathanzua said: Unapo ongea with facts,bila facts unaonekana mjinga.Wakati Ulaya wanaandamana kupinga chanjo, ninyi mnaunga mkono chanjo,very stupid indeed.Angalia attachements zifuatazo labda utazinduka. View attachment 1883795 Click to expand... We mdau umetafuta hicho kitabu ukaona ni kweli kuna hayo maandishi?? Ukifowadiwa vitu na wewe kachunguze kwanza kabla hujafowadi kupotosha zaidi... Lete ukurasa...
trachomatis JF-Expert Member Joined Jun 7, 2011 Posts 3,758 Reaction score 744 Aug 7, 2021 #82 macho_mdiliko said: Ila watu wengine akili zao! Kulikuwa na umuhimu gani wa kurekodi na kusambaza? Click to expand... Kuna vitu lazima vitokee duniani ili watu wengine wengi wajifunze... Hapo tumejifunza kila mmoja kwa namna yake...
macho_mdiliko said: Ila watu wengine akili zao! Kulikuwa na umuhimu gani wa kurekodi na kusambaza? Click to expand... Kuna vitu lazima vitokee duniani ili watu wengine wengi wajifunze... Hapo tumejifunza kila mmoja kwa namna yake...