TANZIA Arusha Wing tumepata msiba wa mwenzetu Freetown

Preta

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2009
Posts
24,320
Reaction score
18,852
Kwa masikitiko makubwa tunapenda kuwajulisha members wote kuwa, mwenzetu Freetown hatunae tena,ametwaliwa kutoka kwenye ulimwengu huu.

Kwa members wa zamani, nadhani mtakuwa mnaifahamu hii ID vizuri.

Kwa wale tuliofanikiwa kusafiri pamoja kuelekea Tarangire kipindi kile, niwape pole sana kwa msiba huu.

Member mwenzetu PakaJimmy atakuja kutupa habari kamili kama alivyozipokea.

Bwana ametoa, Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe.

Apumzike kwa amani......Amen


Prishaz Lily Flower MwanajamiiOne SaHaRa Voice Ncha Derimto Maxence Melo Geoff Asprin Kaizer Filipo Blaki Womani Cantalisia IGWE LiverpoolFC marejesho Mzee wa Rula sweetlady
 
Apumzike kwa Amani.
 
Poleni sana Preta Mwenyezi Mungu aipumzishe roho ya marehemu mahali pema peponi πŸ™πŸ½

 
Poleni sana wana Arushawing.....

Tuko pamoja katika wakati huu wa majonzi.
 
Poleni sana Mkuu apumzike kwa amani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…