TANZIA Arusha Wing tumepata msiba wa mwenzetu Freetown

TANZIA Arusha Wing tumepata msiba wa mwenzetu Freetown

Poleni sana AR wing kwa kumpoteza Freetown ila inaonekana toka 14th October 2018 hajachungulia huku JF. Alipata shida gani? May his soul Rest in Peace
 
Hakika Mola ndiye alitoa, na pia ndiye amemtwaa mja wake. Jina la BWANA siku zote na likapate kuhidimiwa. Amen.

[emoji120]
 
RIP ...Freetown...

Ina maslahi lakini kifo kinakufuata kama kivuli!
 
Back
Top Bottom