TANZIA Arusha Wing tumepata msiba wa mwenzetu Freetown

TANZIA Arusha Wing tumepata msiba wa mwenzetu Freetown

Kwa masikitiko makubwa tunapenda kuwajulisha members wote kuwa, mwenzetu Freetown hatunae tena,ametwaliwa kutoka kwenye ulimwengu huu.

Kwa members wa zamani, nadhani mtakuwa mnaifahamu hii ID vizuri.

Kwa wale tuliofanikiwa kusafiri pamoja kuelekea Tarangire kipindi kile, niwape pole sana kwa msiba huu.

Member mwenzetu PakaJimmy atakuja kutupa habari kamili kama alivyozipokea.

Bwana ametoa, Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe.

Apumzike kwa amani......Amen
Prishaz Lily Flower MwanajamiiOne SaHaRa Voice Ncha Derimto Maxence Melo Geoff Asprin Kaizer Filipo Blaki Womani Cantalisia IGWE LiverpoolFC marejesho Mzee wa Rula sweetlady
My heartfelt condolonces to his family and beloved ones. may his soul R.I.P Amen
 
R.I.P ndugu yetu. Tunaomba uthibitisho isije kuwa kama habari za umomi amejitangaza amefariki kumbe mzima...alafu mods wanaangalia tu anavyoendelea kutuongopea ingekuwa uongozi wa nyuma angeshapigwa chini...
 
Ukipitia post zote utapata jibu
 
Back
Top Bottom