Savimbi Jr
JF-Expert Member
- Sep 23, 2011
- 6,818
- 9,183
Poleni wafiwa,ndugu,jamaa na marafiki.
M.A.P Mji Huru
M.A.P Mji Huru
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Em katongozaneni PM hukoo.
Poleni sana Arusha wing, ampumzike kwa amani member mwenzetuKwa masikitiko makubwa tunapenda kuwajulisha members wote kuwa, mwenzetu Freetown hatunae tena,ametwaliwa kutoka kwenye ulimwengu huu.
Kwa members wa zamani, nadhani mtakuwa mnaifahamu hii ID vizuri.
Kwa wale tuliofanikiwa kusafiri pamoja kuelekea Tarangire kipindi kile, niwape pole sana kwa msiba huu.
Member mwenzetu PakaJimmy atakuja kutupa habari kamili kama alivyozipokea.
Bwana ametoa, Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe.
Apumzike kwa amani......Amen
Prishaz Lily Flower MwanajamiiOne SaHaRa Voice Ncha Derimto Maxence Melo Geoff Asprin Kaizer Filipo Blaki Womani Cantalisia IGWE LiverpoolFC marejesho Mzee wa Rula sweetlady
Poleni sana Preta...Kwa masikitiko makubwa tunapenda kuwajulisha members wote kuwa, mwenzetu Freetown hatunae tena,ametwaliwa kutoka kwenye ulimwengu huu.