Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,773
- 51,429
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sad indeed really sad..Rest in un eternal peace Freetown until we meet again.Write your reply...
Nilipigiwa simu jana alfajiri na Jamaangu anayeishi eneo la UsaRiver akaniambia kuwa wako Kilimanjaro International Airport muda wa saa 1.00
Akaniambia kuwa wamefika hapo kuupokea mwili wa Rafiki yetu Freetown ambao umeletwa na Ndege ya Emirates.
Freetown alikuwa mfanyakazi wa UN na alikuwa akiishi Pakistan na kufanyia kazi huko kwa muda mrefu
Taarifa zinasema kuwa Freetown alifariki katikati ya mwezi wa 6, na suala la kuusafirisha mwili wake kumrudisha nyumbani lilikuwa tata kutokana na hali ya usafiri wa ndege lilivyo kwa sasa.
Mwili wa Freetown ulisafirishwa hiyohiyo jana kuelekea kwao Mkoa wa Njombe
Mungu aiweke pema peponi roho ya mwenzetu Freetown.
ficha ujinga wako. ungemfata pm hapa si pahala pake watu wanaomboleza msiba wewe unawaza upuuzi
Poleni sana. Naikumbuka hiyo ID, ingawa sijaona post zake kwa muda mrefu pia.Kwa masikitiko makubwa tunapenda kuwajulisha members wote kuwa, mwenzetu Freetown hatunae tena,ametwaliwa kutoka kwenye ulimwengu huu.
Kwa members wa zamani, nadhani mtakuwa mnaifahamu hii ID vizuri.
Kwa wale tuliofanikiwa kusafiri pamoja kuelekea Tarangire kipindi kile, niwape pole sana kwa msiba huu.
Member mwenzetu PakaJimmy atakuja kutupa habari kamili kama alivyozipokea.
Bwana ametoa, Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe.
Apumzike kwa aman......Amen
Prishaz@Lily Flower@Mwanajamiione@Sahara Voice@Ncha@Derimto@Maxence Melo@Geoff@Asprin@Kaizer@Filipo@Blaki Womani@Cantalisia@Igwe@LiverpoolFC@Marejesho@Mzee wa Rula@Sweetlady