Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
So sad!Kwa masikitiko makubwa tunapenda kuwajulisha members wote kuwa, mwenzetu Freetown hatunae tena,ametwaliwa kutoka kwenye ulimwengu huu.
Kwa members wa zamani, nadhani mtakuwa mnaifahamu hii ID vizuri.
Kwa wale tuliofanikiwa kusafiri pamoja kuelekea Tarangire kipindi kile, niwape pole sana kwa msiba huu.
Member mwenzetu PakaJimmy atakuja kutupa habari kamili kama alivyozipokea.
Bwana ametoa, Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe.
Apumzike kwa amani......Amen
Prishaz Lily Flower MwanajamiiOne SaHaRa Voice Ncha Derimto Maxence Melo Geoff Asprin Kaizer Filipo Blaki Womani Cantalisia IGWE LiverpoolFC marejesho Mzee wa Rula sweetlady
Wapo imara sana hao watu wa ArushaPoleni wana jf hususani Arusha wing, hakika hii wing ipo imara
Preta, poleni kwa msiba, na Mwenyezi Mungu ampumzishe kwa amani; Freetown.Kwa masikitiko makubwa tunapenda kuwajulisha members wote kuwa, mwenzetu Freetown hatunae tena,ametwaliwa kutoka kwenye ulimwengu huu.
Kwa members wa zamani, nadhani mtakuwa mnaifahamu hii ID vizuri.
Kwa wale tuliofanikiwa kusafiri pamoja kuelekea Tarangire kipindi kile, niwape pole sana kwa msiba huu.
Member mwenzetu PakaJimmy atakuja kutupa habari kamili kama alivyozipokea.
Bwana ametoa, Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe.
Apumzike kwa amani......Amen
Prishaz Lily Flower MwanajamiiOne SaHaRa Voice Ncha Derimto Maxence Melo Geoff Asprin Kaizer Filipo Blaki Womani Cantalisia IGWE LiverpoolFC marejesho Mzee wa Rula sweetlady
Apumzike kwa amaniKwa masikitiko makubwa tunapenda kuwajulisha members wote kuwa, mwenzetu Freetown hatunae tena,ametwaliwa kutoka kwenye ulimwengu huu.
Kwa members wa zamani, nadhani mtakuwa mnaifahamu hii ID vizuri.
Kwa wale tuliofanikiwa kusafiri pamoja kuelekea Tarangire kipindi kile, niwape pole sana kwa msiba huu.
Member mwenzetu PakaJimmy atakuja kutupa habari kamili kama alivyozipokea.
Bwana ametoa, Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe.
Apumzike kwa amani......Amen
Prishaz Lily Flower MwanajamiiOne SaHaRa Voice Ncha Derimto Maxence Melo Geoff Asprin Kaizer Filipo Blaki Womani Cantalisia IGWE LiverpoolFC marejesho Mzee wa Rula sweetlady
Oh dear Lord!Kwa masikitiko makubwa tunapenda kuwajulisha members wote kuwa, mwenzetu Freetown hatunae tena,ametwaliwa kutoka kwenye ulimwengu huu.
Kwa members wa zamani, nadhani mtakuwa mnaifahamu hii ID vizuri.
Kwa wale tuliofanikiwa kusafiri pamoja kuelekea Tarangire kipindi kile, niwape pole sana kwa msiba huu.
Member mwenzetu PakaJimmy atakuja kutupa habari kamili kama alivyozipokea.
Bwana ametoa, Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe.
Apumzike kwa amani......Amen
Prishaz Lily Flower MwanajamiiOne SaHaRa Voice Ncha Derimto Maxence Melo Geoff Asprin Kaizer Filipo Blaki Womani Cantalisia IGWE LiverpoolFC marejesho Mzee wa Rula sweetlady
Tupia picha yake,inaweza kuwa mtu anafahamika.Ndugu yetu huyu ameshazikwa jmosi kwao Iringa mkuu 🙏🏽
Tupia picha yake,inaweza kuwa mtu anafahamika.
Mkuu wanao mfahamu watakuwa wana taarifa tayari, tuheshimu privacy yake.Tupia picha yake,inaweza kuwa mtu anafahamika.