Arusha: Yaliyojiri mapokezi ya Godbless Lema, Adai VICOBA ni umasikini, Mama lishe ni utumwa, Samia asitukanwe, Mbowe ampa kazi ya Katiba Mpya

Huu ni uchonganishi mura. Kwetu huko hatujazoea kubadilisha badilisha maneno mughaka .

Kumpigia acting president simu na kuongea nae direct si kazi rahisi mura. Lazima upitie ama kwa wasaidizi wake au watu anaowaheshimu na kumfikia kwa haraka. Na hapa ndipo Rais mstaafu JK anapoangukia. So usimchonganishe Lema na msaada muhimu ktk maisha yake.

Kikubwa awamu ya tano ilikuwa ya watesi sana kwa watu wa itikadi tofauti. Nayo imeondolewa na Mungu bila magomvi
 
Pole,kanywe maji mengi bro.

Ila ukweli unabaki palepale.kwani Kikwete ni shetani ama!.Si rais mstaafu.

Pooooole,Kama unaipenda CCM vya nini kutupigia kelele.ni walewale kasoro ni namba za viatu.

Komaeni sana na richama Hilo,so hatutaki kelele.
Nonsensical.
 
Mkuu Genta, Mzee wa hizi kazi.. Kiongozi kabisa! Aisee tuongee mpira bhana, kama ni siasa basi za Rwanda.
 
Mtu kukuunganisha au kukukutanisha na mtu mwingine sio lazima iwe kwamba ndio ana kauli.
Hao niviongozi hivyo mawasiliano kwao nijambo la kawaida

JK anapendelea kusema acheni nongwa
Huna Akili.
 
Ndio maana kila siku watu wanasema mbona mambo yaliyokuwa yanatokea awamu ya Kikwete yanajirudia vile vile? Hasa mgao wa umeme
 
Mapungufu ya Awali yanahalalishwa na Mapungufu ya sasa au yajayo? Kuna Watu ni Wapuuzi Tanzania hii hadi nawaza kwanini Corona ( Covid-19 ) haikuondoka nanyi.
 
Ati ceremonial president 😅yawezekana kutokana na Baraza la mawaziri na wote anaowapa vyeo,asilimia kubwa wanalink na msoga,ngoja nitafute koneksheni ya mzee nipate cheo nimechoka kusimamiwa na watu nilowazid kuanzi,elimu,uwezo na experience ya kazi 🙏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…