Mkereketwa wa NAZI
JF-Expert Member
- Oct 29, 2022
- 1,048
- 2,449
Mm bodaboda ila nafanya kwa weledi kazi yang na mpaka ss nishajenga na nna bodaboda zang tatu sio kama nyie majobless mnapiga kelele tu humu pumbav zenu ww mtoa mada na huyo lema wako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Said by popoma.What a poor justification and reasoning....!!!!!
Lema kazoea kulishwa bure na wanaume Canada basi anataka kila mtu aishi hivyo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huu ni uzushi wa machawa ya CCM. Lema ni shujaa na tunaimani na kijana huyu 2025 arudishe jimbo la Arusha nyumbani CDM.Baada ya Lema kutoa kauli za dharau na dhihaka kwa wananchi wa Arusha, hatimaye wananchi wameibuka na kumuuliza "Amewahi Kuwasaidia nini?" Wapo walioenda mbali na kusema kwamba kwa kuwa yeye anaishi bure Canada, anaanza kuwaletea dharau. Wananchi hao walipandwa na jazba wakati wakihojiwa kuhusu matamshi ya Lema.
Lema aliwatukana wanendesha bodaboda na pia aliwatukana hata watumishi wa Mungu. Amewakanyaga wananchi wa Arusha na watumishi wa Mungu, na yote haya ni sababu ya kutaka sifa na umaarufu, ambavyo hatimaye vimepelekea kumfikia mabaya.
Nimekuwekea video kama ushahidi ili kuonyesha kwamba siyo natunga.
View attachment 2535722
Lema anataka kila mtu alelewe bure Kama yeye, haiwezekani kamwe. Yeye huwalipa nini wanaomlea?Huu ni uzushi wa machawa ya ccm. Lema ni shujaa na tunaimani na kijana huyu 2025 arudishe jimbo la Arusha nyumbani CDM.
Ndio shujaa wakoHuu ni uzushi wa machawa ya ccm. Lema ni shujaa na tunaimani na kijana huyu 2025 arudishe jimbo la Arusha nyumbani CDM.
Rubbish, yeye mbona haendi kuendsha bodaboda? Watoto wa wengine ndio wanastahili bodaboda. Bodaboda ni laana!Katibu Mkuu wa UVCCM Taifa Ndugu Kenani Kihongosi amesikitishwa na kauli ya Mwanasiasa wa Upinzani Godbless Lema kunanga Vijana na Watanzania waliojiajiri kupitia Bodaboda.
Lema katoa Siri aliyokatazwa asiseme tena akafungulia Sauti kubwa mbele ya mkeweRubbish, yeye mbona haendi kuendsha bodaboda? Watoto wa wengine ndio wanastahili bodaboda. Bodaboda ni laana!