Arusha: Yaliyojiri mapokezi ya Godbless Lema, Adai VICOBA ni umasikini, Mama lishe ni utumwa, Samia asitukanwe, Mbowe ampa kazi ya Katiba Mpya

Arusha: Yaliyojiri mapokezi ya Godbless Lema, Adai VICOBA ni umasikini, Mama lishe ni utumwa, Samia asitukanwe, Mbowe ampa kazi ya Katiba Mpya

Jana nimemsikiliza Godbless Lema akisema Rais Samia 'ana nidhamu ya demokrasia'. Ni maneno yanayofanana na kile ambacho Mbowe amekuwa akikisema mara zote, ndicho ambacho Lissu anakisema.

Rais Samia Suluhu ni mwanadamu, ana makosa mengi tu.

Lakini hakuna jambo zuri sana kwa nchi kama kuwa na Rais mwenye utu, msikivu na mnyenyekevu. Hivi vyote tunavipata kwa Rais Samia Suluhu.

Nchi iko salama, tumeungana kama Taifa na mambo yote yanaenda kwa uzuri sana.

Tuujenge uchumi wetu, tusaidiane na Rais Samia.
Miaka 10 tena kwa Mama Samia.
 
Katibu Mkuu wa UVCCM Taifa Ndugu Kenani Kihongosi amesikitishwa na kauli ya Mwanasiasa wa Upinzani Godbless Lema kunanga Vijana na Watanzania waliojiajiri kupitia Bodaboda.
CCM ni wataalam wa kubadilisha maneno.

Nilikuwepo uwanjani, nilimsikia Lema akiongea kuhusu bodaboda. Concern ya Lema ni kwamba, baada ya muda mfupi, vijana wa bodaboda wataugua maradhi ya kifua,

Sio njema kutumainia kazi ya bodaboda. Serikali ifungue viwanda, serikali iwawezeshe vijana kwenye kilimo. Sio kuwaacha kutegemea Tsh 7000 kwa siku. Huo ndio ulikuwa ushauri wa Lema.

Sasa kwa vile CCM mnawaona Watanzania ni wajinga, mnabadilisha maneno kuwahadaa ambao hawakuwepo kwenye mkutano. Shame on you.... Muda wa kuwahadaa Watanzania umeshapita.
 
CCM ni wataalam wa kubadilisha maneno.

Nilikuwepo uwanjani, nilimsikia Lema akiongea kuhusu bodaboda. Concern ya Lema ni kwamba, baada ya muda mfupi, vijana wa bodaboda wataugua maradhi ya kifua.

Sio njema kutumainia kazi ya bodaboda. Serikali ifungue viwanda, serikali iwawezeshe vijana kwenye kilimo. Sio kuwaacha kutegemea Tsh 7000 kwa siku. Huo ndio ulikuwa ushauri wa Lema.

Sasa kwa vile CCM mnawaona Watanzania ni wajinga, mnabadilisha maneno kuwahadaa ambao hawakuwepo kwenye mkutano. Shame on you.... Muda wa kuwahadaa Watanzania umesha pita.
Duu Basi mkalitazame
 
Baada ya Lema kutoa kauli za dharau na dhihaka kwa wananchi wa Arusha, hatimaye wananchi wameibuka na kumuuliza "Amewahi Kuwasaidia nini?" Wapo walioenda mbali na kusema kwamba kwa kuwa yeye anaishi bure Canada, anaanza kuwaletea dharau. Wananchi hao walipandwa na jazba wakati wakihojiwa kuhusu matamshi ya Lema.

Lema aliwatukana wanendesha bodaboda na pia aliwatukana hata watumishi wa Mungu. Amewakanyaga wananchi wa Arusha na watumishi wa Mungu, na yote haya ni sababu ya kutaka sifa na umaarufu, ambavyo hatimaye vimepelekea kumfikia mabaya.

Nimekuwekea video kama ushahidi ili kuonyesha kwamba siyo natunga.
View attachment 2535722
Matapeli wakubwa...Bravo Nabii Lema
 
Katibu Mkuu wa UVCCM Taifa Ndugu Kenani Kihongosi amesikitishwa na kauli ya Mwanasiasa wa Upinzani Godbless Lema kunanga Vijana na Watanzania waliojiajiri kupitia Bodaboda.
Vipi ile migao uliyo kuwa una pewa na Sabaya? Kihongosi kaa kimya usitafute watu wfungue file lako kipindi uko Arusha.
 
Katibu Mkuu wa UVCCM Taifa Ndugu Kenani Kihongosi amesikitishwa na kauli ya Mwanasiasa wa Upinzani Godbless Lema kunanga Vijana na Watanzania waliojiajiri kupitia Bodaboda.
Kama akili ya Viongozi wa vijana ndiyo hii ...... No wonder, nimesikia kuwa vijana waliomaliza Vyuo vikuu waende VETA kujifunza....!!
 
CCM ni wataalam wa kubadilisha maneno.

Nilikuwepo uwanjani, nilimsikia Lema akiongea kuhusu bodaboda. Concern ya Lema ni kwamba, baada ya muda mfupi, vijana wa bodaboda wataugua maradhi ya kifua.

Sio njema kutumainia kazi ya bodaboda. Serikali ifungue viwanda, serikali iwawezeshe vijana kwenye kilimo. Sio kuwaacha kutegemea Tsh 7000 kwa siku. Huo ndio ulikuwa ushauri wa Lema.

Sasa kwa vile CCM mnawaona Watanzania ni wajinga, mnabadilisha maneno kuwahadaa ambao hawakuwepo kwenye mkutano. Shame on you.... Muda wa kuwahadaa Watanzania umesha pita.
Watu wa CCM ni wajinga fullstop yaani wanatakiwa wapanue akili kuhusu ajira bora
 
Kwa bwan country wide huwa nakuelewa San kwenye mamb fln kiukweli hi kauli ya lema haikubalik kwa namna yoyote ile kudharu na kutweza Kaz na utu wa mtu leo hi lema akiambia ataje watoto au wamam alowasadia yey Hadi kufika vyiuo vikuu hakuna hata mmoja leo hi anakuja kuadharau watu arusha

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Lema ana laana ya asili, anafikiri kila mtu anaweza kulelewa bure au kuwa mwizi wa magari
 
1. Ajali
bodaboda wanahusika katika kusababisha ajali nyingi barabarani, tofauti na magari sio rahisi sana kudhibiti bodaboda. Ni bodaboda pekee ambayo utaikuta inaendesha kulia sehemu inatakiwa kuendesha kushoto.

2. Afya
katika bodaboda dereva na abiria wake ndio bodi za chombo, ajali ndogo tu inaweza kusababisha kifo, madhara makubwa kichwani, kukatwa miguu, mikono n.k. Hii inamaanisha kwamba inaleta mzigo mkubwa katika mfumo wa afya ambao umezidiwa kwa uchache wa madaktari.

3. Usalama wa raia na mali zao
Bodaboda zinahusika sana katika matukio ya uhalifu wa silaha na ukwapuaji barabarani kwa sababu ya uwezo mkubwa wa kupenya.

4. Athari kwa sekta muhimu kiuchumi
Kama vile mitumba na nguo za wachina zinavyoendelea kuua na kuzuia kushamiri sekta ya viwanda, Bodaboda ambayo imekuwa kimbilio kwa vijana ni changamoto sana katika kuleta mageuzi ya kiuchumi. Tanzania ina ardhi kubwa ya kulima na kufanya shughuli nyingine ila vijana wanakimbilia kwenye bodaboda tu kwa sababu ni kazi rahisi kuanza nayo.

5. Kutumika vibaya kisiasa
Waendesha magari au ndege huwezi kuwashawishi wakukubali kwa masuala ya hisia tu kwamba umenunua ndege nyingi au umefanya uingizaji wa magari kuwa rahisi. Wao huwa wanaangalia mambo mengine mengi zaidi ya hayo tofauti na bodaboda.

Hata hivyo ukosefu wa fursa na ugumu wa maisha hufanya binadamu wakati mwingine kutokuwa na chaguo zaidi ya kufanya kazi za laana ambazo hajivunii kabisa.
 
Godbless Lema amewatukana vijana Waliojiajiri kwa kuwaambia wanafanya kazi za laana, hii suala limeacha simanzi kwa vijana wengi sana.

Jana nilikua Arusha nimezunguka sehemu mbalimbali kuona wamepokeaje kauli hii yenye dharau kubwa sana. Hakika walio wengi wanajuta kwa Nini walienda Kumpokea Lema.

Serikali inapambana usiku na mchana ili vijana wapate ajira na wajiajiri alafu leo lema anakuja kuwatukana?

Lema anapaswa kuomba radhi kwa kauli hii. Yeye kwa kuwa anakula na kulala bure kule canada basi anataka watu wote waishi hivyo kitu ambacho hakiwezekani. Imeandikwa kwenye vitabu takatifu kuwa mwanaume atakula kwa jasho, wewe inakuaje unakula bure alafu unaleta dharau kwa wanaokula kwa jasho?

Lema anapaswa kuomba radhi mara moja kwa kauli hii.
Bwana Lema lawama yake ielekezwe kwa ujinga wake wa elimu ndogo aliyonayo kuhuaiana na utajiri mwingi wa nchi zilizo endelea.
Hajui historia ya Canada, USA, UK, Belgium etc na umasikini wa Africa. Anafikiri watanzania wakikataa kazi za Bodaboda, mama lishe, kuuza mkaa, Kulima na jembe la mkono, machinga mara watakuwa matajiri - barabara nzuri, umeme mishahara mikubwa, bei kubwa za bidhaa etc vitaanza kupatikana!
Hakujifunza alipokuwa Canada - ila alikuwa anashangaa tu Canada. Kama angechukua muda Kujifunza na kulinganisha, kazi na mchango unaofanywa na Bodaboda kwa uchumi na maendeleo, angegundua kwamba ni advanced stage ikilinganishwa na process walizopita walioendelea kabla yetu.
Imagine service na kuokoa muda inayo tolewa na Bodaboda sasa, mataifa yaliyo endelea hawakupata service hiyo! Na kama wangeliipata wangekuwa mbali zaidi!
Nafikiri Lema muda aliokaa ulaya hakuutumia Kujifunza vitu vingi. Hivyo, msimlaumu sana - hajui basi.
 
Back
Top Bottom