Odhiambo cairo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 15,989
- 22,078
Huu ni uchonganishi mura. Kwetu huko hatujazoea kubadilisha badilisha maneno mughaka ."Nilimpigia Simu Rais Mstaafu Kikwete na kumwambia nataka kurudi Tanzania nae ( Kikwete ) akaniuliza nipo na nani na nataka Kurudi lini nikamjibu nae ( Kikwete ) akaniambia nisubiri waweke mambo sawa na nitarejea tu"
Akina GENTAMYCINE Kutwa tena kwa Kujiamini na kuwa na Uhakika kuwa Mstaafu Kikwete ana Nguvu katika Utawala wa Rais Samia na Rais Samia hapinduki ( hana Kauli ) kwa Kikwete na kwamba Kikwete bado ni Rais ( japo Kivuli ) huwa mnakataa na Kubisha.
Rais ni Samia kwanini Wewe umpigie Simu Rais Mstaafu Kikwete? Kama Lema kwa Kusema haya unadhani Umempaisha Kikwete basi ndiyo Umeharibu zaidi na Kututhibitishia kuwa Tanzania ya sasa Kikwete ndiyo mwenye Maamuzi ya Mwisho na wengine ni Ceremonial Presidents tu.
Kumpigia acting president simu na kuongea nae direct si kazi rahisi mura. Lazima upitie ama kwa wasaidizi wake au watu anaowaheshimu na kumfikia kwa haraka. Na hapa ndipo Rais mstaafu JK anapoangukia. So usimchonganishe Lema na msaada muhimu ktk maisha yake.
Kikubwa awamu ya tano ilikuwa ya watesi sana kwa watu wa itikadi tofauti. Nayo imeondolewa na Mungu bila magomvi