kirengased
JF-Expert Member
- Jan 10, 2016
- 6,348
- 7,058
Huyu mjinga alipelekwaga arusha kupigana na lema akachapa vijana fimbo kipumbafu sasa kaibuka hko ghafla anatafuta umaarufu tena hatopata
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nataka pia lema akumbuke kuwa hata wakati ni mbunge boda boda Arusha zilikuwepo. Alifanya nini kusaidia vijana hata wa jimbo lake tu waondoke katika laana anayoisema? Kukaa ubelgiji ndo amesahau maisha yetu inasikitisha.Katibu Mkuu wa UVCCM Taifa Ndugu Kenani Kihongosi amesikitishwa na kauli ya Mwanasiasa wa Upinzani Godbless Lema kunanga Vijana na Watanzania waliojiajiri kupitia Bodaboda.
View attachment 2535773
Alichoongea Kihongosi:
Kuna mambo hayawezi kuongelewa na kiongozi ambaye amewahi kuwa analipwa mshahara na serikali. Wewe ukipata neema, Mungu amekupa uwezo hautakiwi kuona wasio na uwezo kama ni watu wasiotaka kufanikiwa.
Lema amezungumza kauli mbaya kusema bodaboda ni kazi ya laana, yeye amekaa Canada huko hatujui nani alikuwa namfuga na kumlisha, "Umekuja leo unaanza kusema hii ni kazi ya laana, sio kauli nzuri". Tuna ndugu zetu wanaendesha familia zao kwa kutumia bodaboda.
Serikali ya awamu ya sita inawathamini bodaboda na bajaj ndio maana imewarasimisha. Mimi nikimuona bodaboda na bajaj simtofautishi na daktari kwa kuwa kila mmoja amejiajiri kwa nafasi yake.
Huyo ni former thief wa magari. Anachothamini ni yule anayemlipa. Zito katuambia baada ya uchaguzi 2020 alipewa offer ya ukimbizi na kuahiidiwa kugharamikiwa kila kitu. Hapo karudi bila familia kubeep fursa. Wanaomtunza ndio wamemtuma. Lazima kama lissu atarudi. Kashakua kibaraka wa ubeberu.Katibu Mkuu wa UVCCM Taifa Ndugu Kenani Kihongosi amesikitishwa na kauli ya Mwanasiasa wa Upinzani Godbless Lema kunanga Vijana na Watanzania waliojiajiri kupitia Bodaboda.
View attachment 2535773
Alichoongea Kihongosi:
Kuna mambo hayawezi kuongelewa na kiongozi ambaye amewahi kuwa analipwa mshahara na serikali. Wewe ukipata neema, Mungu amekupa uwezo hautakiwi kuona wasio na uwezo kama ni watu wasiotaka kufanikiwa.
Lema amezungumza kauli mbaya kusema bodaboda ni kazi ya laana, yeye amekaa Canada huko hatujui nani alikuwa namfuga na kumlisha, "Umekuja leo unaanza kusema hii ni kazi ya laana, sio kauli nzuri". Tuna ndugu zetu wanaendesha familia zao kwa kutumia bodaboda.
Serikali ya awamu ya sita inawathamini bodaboda na bajaj ndio maana imewarasimisha. Mimi nikimuona bodaboda na bajaj simtofautishi na daktari kwa kuwa kila mmoja amejiajiri kwa nafasi yake.
Unataka kusema nini mkuuWapo waliosomesha watoto wao kwa kuuza gongo,mirungi,ngadu,wizi wa mali ya umma,ujambazi na hata rushwa.
Je nao wasifiwe kisa wamesomesha? Jenga hoja yako kwa kutulia
bodaboda ni laana ndio maana watoto wa kitila mkumbo na madelu wako BOT huku wajinga wakihadaiwa kuwa bodaboda ni kaz kungun na machawa wamepagawa kombora moja la lema, je yale makombora 99 yaliyobaki mtahimili kweli.Lema katoa Siri aliyokatazwa asiseme tena akafungulia Sauti kubwa mbele ya mkewe
Lema amepoteza Sifa ya kuwa Kiongozi
Jiulize mwenyewe ulichoandika kina mantiki gani.?Siasa zingine za kijinga tu!
Tamko la Lema kuwahusu bodaboda, ni msimamo wa Chadema? Na kama siyo, Lema akemewe mara moja!
Mtu amekuwa mbunge zaidi ya miaka 15, bodaboda alizikuta na akaziacha, lakini hakufanya lolote ili tu kuwatoa hao bodaboda kwenye biashara hiyo ya laana kama anavyodai, isitoshe, bodaboda zimekuwa zikitumika sana kwenye mikutano ya Chadema na zimekuwa zikikiheshimisha chama na Viongozi wake
Sisi tukuiteje?
Ni ujingaa au Canada anataka kuihamishia Tanzania kwa maneno tupu?
Bodaboda zimesomesha watoto na wengine wapo vyuoni wazazi wao wakiwasomesha kwa hizo boda, halafu mtu mmoja tu kutoka Kanada tena kwa ukimbizi wa kuhongwa ili tu aitwe mkimbizi aje kutukana kazi zetu?
Lema, ulilpaswa kuwasimanga boda baada ya kuainisha ulichowafanyia wana Arusha miaka 15 ukiwa mbunge na au ungeshuka na mbadala wa kazi hiyo kutokea huko Canada
Lema, Licha ya kukaa ughaibuni miaka zaidi ya miwili bado haikutosha kuondoa upuuzi wa kufikiri?
Hujui mamlaka na majukumu ya mbunge hapo ulipo, mbunge siyo mtawala ni msemaji tu. Unamlaumu golikipa kwa magoli kukataliwa na refa!!
Uongozi ni pamoja na kuwa na akili njema na kufikiri vema kuhusu anaowaongoza!expand...
bodaboda sio kaz ni laana ndio maana watoto wa kitila mkumbo na madelu huwez kuwakuta kwenye hio kaz.Lema hana kifua cha kufichua Siri
Ninataka kusema kazi ambazo watu wanazifanya kama mbadala zisishabikiwe eti kisatu mhusika kasomesha wanae. Hataee kazi haram ikisomesha ipigiwe chapuo?Unataka kusema nini mkuu
Unasikitishwa Nini au Kwa vile wewe unayo ajira na unalamba asali?Katibu Mkuu wa UVCCM Taifa Ndugu Kenani Kihongosi amesikitishwa na kauli ya Mwanasiasa wa Upinzani Godbless Lema kunanga Vijana na Watanzania waliojiajiri kupitia Bodaboda.
View attachment 2535773
Alichoongea Kihongosi:
Kuna mambo hayawezi kuongelewa na kiongozi ambaye amewahi kuwa analipwa mshahara na serikali. Wewe ukipata neema, Mungu amekupa uwezo hautakiwi kuona wasio na uwezo kama ni watu wasiotaka kufanikiwa.
Lema amezungumza kauli mbaya kusema bodaboda ni kazi ya laana, yeye amekaa Canada huko hatujui nani alikuwa namfuga na kumlisha, "Umekuja leo unaanza kusema hii ni kazi ya laana, sio kauli nzuri". Tuna ndugu zetu wanaendesha familia zao kwa kutumia bodaboda.
Serikali ya awamu ya sita inawathamini bodaboda na bajaj ndio maana imewarasimisha. Mimi nikimuona bodaboda na bajaj simtofautishi na daktari kwa kuwa kila mmoja amejiajiri kwa nafasi yake.
kwa hio zito ni lema, kama aliambiwa zito hio offer ndo na lema aliambiwa, huyo zito dalali wa kisiasa toka lini akaaminika.Huyo ni former thief wa magari. Anachothamini ni yule anayemlipa. Zito katuambia baada ya uchaguzi 2020 alipewa offer ya ukimbizi na kuahiidiwa kugharamikiwa kila kitu. Hapo karudi bila familia kubeep fursa. Wanaomtunza ndio wamemtuma. Lazima kama lissu atarudi. Kashakua kibaraka wa ubeberu.
Mkuu hii sio ajira. Wanapopata ajali hawana malipo yote wanayopata na tiba ni juu ya wanafamilia zao. CCM haiwaangalii pale MOI au KCMC, Bugando Wala Meru Hosp.Katibu Mkuu wa UVCCM Taifa Ndugu Kenani Kihongosi amesikitishwa na kauli ya Mwanasiasa wa Upinzani Godbless Lema kunanga Vijana na Watanzania waliojiajiri kupitia Bodaboda.
View attachment 2535773
Alichoongea Kihongosi:
Kuna mambo hayawezi kuongelewa na kiongozi ambaye amewahi kuwa analipwa mshahara na serikali. Wewe ukipata neema, Mungu amekupa uwezo hautakiwi kuona wasio na uwezo kama ni watu wasiotaka kufanikiwa.
Lema amezungumza kauli mbaya kusema bodaboda ni kazi ya laana, yeye amekaa Canada huko hatujui nani alikuwa namfuga na kumlisha, "Umekuja leo unaanza kusema hii ni kazi ya laana, sio kauli nzuri". Tuna ndugu zetu wanaendesha familia zao kwa kutumia bodaboda.
Serikali ya awamu ya sita inawathamini bodaboda na bajaj ndio maana imewarasimisha. Mimi nikimuona bodaboda na bajaj simtofautishi na daktari kwa kuwa kila mmoja amejiajiri kwa nafasi yake.
Huu ni upuuzi mtupu ulioandika!Jiulize mwenyewe ulichoandika kina mantiki gani.?
Kikubwa hapa ni je Serikali inakuzaje ajira Kwa watu wake na hasa vijana wanaomaliza Shule na kozi za hapa na pale?
Yaani unaona ni Hali vijana waendelee kuwa watumwa wa matajiri Kwa hizi bodaboda ambazo nyingi ni za wenye uwezo na wachache wanaweza kufikisha mkataba kabla hawajakutia au kushinda kabisa.
kaendeshe boda boda bas huku watoto wa kitila mkumbo na madelu wakifanya kaz BOT.Maisha sio Lelemama. Inawezekana Lema amelemaa na misaada iliyokuwa inamuwezesha kuishi bila kufanya kazi huko Kanada...
Ipi haramu? Boda boda ni haramu?Ninataka kusema kazi ambazo watu wanazifanya kama mgadala zisishabikiwe eti kisatu mhusika kasomesha wanae. Hata kazi haram ikisomesha ipigiwe chapuo?
Mleta mada amesema bodaboda wanasomesha watoto wao kupitia kazi hiyo ndio maana nimesema kusomesha watoto sio kinga yakazi hiyo kutosemwa changamoto zakeIpi haramu? Boda boda ni haramu?