Arusha: Yaliyojiri mapokezi ya Godbless Lema, Adai VICOBA ni umasikini, Mama lishe ni utumwa, Samia asitukanwe, Mbowe ampa kazi ya Katiba Mpya

Arusha: Yaliyojiri mapokezi ya Godbless Lema, Adai VICOBA ni umasikini, Mama lishe ni utumwa, Samia asitukanwe, Mbowe ampa kazi ya Katiba Mpya

Rubbish, yeye mbona haendi kuendsha bodaboda? Watoto wa wengine ndio wanastahili bodaboda. Bodaboda ni laana!
Na siku hizi wengi ndio wamemaliza madigrii vyuoni wanaendesha bodaboda, Lema Yuko sahihi ila uwasilishaji ndo mbovu, anachopigania ni tax cuts Ili foreign investors waje, wale wenye degree wapate ajira waione thamani elimu yao.

Nimeisikiliza na kureplay video ya dk 1 na sekunde zake.
Ilibidi aspecify tu tatizo aliweka hoja in general(kuwainclude wasioenda shule).

Tunafahamu ya kuwa bodaboda imeweza toa ajira isiyo rasmi Kwa wale wanaotamba kuvaa joho la chuo.
Haiwezekani mtu amemaliza chuo , Hana uhakika wa ajira, anaona Bora aendeshe bodaboda asukumize siku.

Hii ni kwasababu ya sera mbovu za Serikali na upigaji unaopitiliza.
 
Lema hajielewi yule

Miaka kumi hata siona kimoja alichowafanyia watu wa Arusha..nawashauri watu wa Arusha waachebkufuata mkumbo na miemko..ungozi haitaki harakati.
 
Hiki ulichokiandika ndio Ujinga hasa! Lema Kwa hiyo miaka 15 uliyoisema, alikuwa mbunge tu. Mbunge ni mwakilishi wa wananchi wa Jimbo lake. Kazi ya mbunge ni kuwasemea wananchi. Ambaye anatakiwa kutenda ni serikali na Wadau wengine. Mbunge hakusanyi Kodi. Mbunge hana dola. Mbunge ni mtu wa kawaida kabisa kama ulivyo wewe na mimi. Tofauti yetu na mbunge ni kuwa yeye ana platform rasmi ya kuongelea (Bunge).

So kusema Lema hakufanya kitu, ni ujinga wa hali ya juu. Someni jamani ili mjue majukumu ya mbunge ni yepi?
Endelea kuwapa shule hao wanaoshindwa kutofautisha majukumu ya mbunge na yale ya serikali inayokusanya kodi na kukopa mikopo kedekede
 
Siasa zingine za kijinga tu!

Tamko la Lema kuwahusu bodaboda, ni msimamo wa Chadema? Na kama siyo, Lema akemewe mara moja!

Mtu amekuwa mbunge zaidi ya miaka 15, bodaboda alizikuta na akaziacha, lakini hakufanya lolote ili tu kuwatoa hao bodaboda kwenye biashara hiyo ya laana kama anavyodai, isitoshe, bodaboda zimekuwa zikitumika sana kwenye mikutano ya Chadema na zimekuwa zikikiheshimisha chama na Viongozi wake

Sisi tukuiteje?

Ni ujingaa au Canada anataka kuihamishia Tanzania kwa maneno tupu?

Bodaboda zimesomesha watoto na wengine wapo vyuoni wazazi wao wakiwasomesha kwa hizo boda, halafu mtu mmoja tu kutoka Kanada tena kwa ukimbizi wa kuhongwa ili tu aitwe mkimbizi aje kutukana kazi zetu?

Lema, ulilpaswa kuwasimanga boda baada ya kuainisha ulichowafanyia wana Arusha miaka 15 ukiwa mbunge na au ungeshuka na mbadala wa kazi hiyo kutokea huko Canada

Lema, Licha ya kukaa ughaibuni miaka zaidi ya miwili bado haikutosha kuondoa upuuzi wa kufikiri?
Hujui mamlaka na majukumu ya mbunge hapo ulipo, mbunge siyo mtawala ni msemaji tu. Unamlaumu golikipa kwa magoli kukataliwa na refa!!
 
Cheap politics, mbona huongelei upigaji unaoendelea.
Wakati hao ndio wapigaji. Alishaambiwa ameingiziwa mlungula kupitia akaunti ya mkewe. Hayo aliyasema Gambo mbele ya waziri mkuu.

Kama anaona bodaboda ni neema akanunue aendeshe. Asifanye watu hamnazo.

Bodaboda kataeni kutumiwa na hao jamaa wanaojitia eti hiyo ni ajira. Hata wapiga debe na makondakta wanapata hela mbona hawawasifii
 
Huwaonei huruma hao wanapoteza maisha au kupata vilema kila kukicha kutokana na kuendesha bodaboda au bajaji kiholela tena bila leseni wala kuzingatia sheria za usalama barabarani?!
Kazi karibu zote ni risk. Unataka waache bodaboda ili wafanye kazi kazi? Ya kulelewa bure kama yeye lema?
 
Hajui kwamba mtu mzima na familia yake kulishwa na wanaume wenzake ndo LAANA kubwa
Kabisa kabisa, maana hatujui yeye anawapa nini kwa kuwa haiwezekani wanaume wenzio wakulishe burebure tu
 
Hata makahaba na machangudoa wanasomesha watoto na kutunza familia zao. Jee kazi hiyo ni ya baraka? Mtu akiisema kuwa haifai nyie CCM mtamlaumu kuwa ana discourage watu waliojiajiri?
Acheni kuwafanya vijana wa Bodaboda ni wajinga, hawafanyi kazi hiyo Kwa kupenda Bali ni Kwa vile hamjawapa fursa nzuri zaidi
Hizo fursa nzuri mbona lema Hana? Anaishi kwa kula na Kulala bure kwa pesa za wanaume wenzake. Unataka wote waishi hivyo?
 
Mzee wa logical non sequitur😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Wa tz wengi mnaongelea kitu kimoja lakini bado hamuelewani 😂😂😂🤣🤣🤣
Kujieleza kwa ufasaha tu ni mtihani, ndiyo hivyo inakuwa lugha gongana.

Watu wako so easily offended mpaka ukiwaambia ukweli kwa nia nzuri wanaona unawatukana.

Yani wewe hutaki umasikini, wao hawataki umasikini.

Wewe unaelewa kwamba kuna systemic failure, wao wanaelewa kuna systemic failure.

Kimsingi wote mnakubaliana.

Lakini, mkikaa chini kushauriana, mnaanza kutukanana!
 
Katibu Mkuu wa UVCCM Taifa Ndugu Kenani Kihongosi amesikitishwa na kauli ya Mwanasiasa wa Upinzani Godbless Lema kunanga Vijana na Watanzania waliojiajiri kupitia Bodaboda.
View attachment 2535773

Alichoongea Kihongosi:
Kuna mambo hayawezi kuongelewa na kiongozi ambaye amewahi kuwa analipwa mshahara na serikali. Wewe ukipata neema, Mungu amekupa uwezo hautakiwi kuona wasio na uwezo kama ni watu wasiotaka kufanikiwa.

Lema amezungumza kauli mbaya kusema bodaboda ni kazi ya laana, yeye amekaa Canada huko hatujui nani alikuwa namfuga na kumlisha, "Umekuja leo unaanza kusema hii ni kazi ya laana, sio kauli nzuri". Tuna ndugu zetu wanaendesha familia zao kwa kutumia bodaboda.

Serikali ya awamu ya sita inawathamini bodaboda na bajaj ndio maana imewarasimisha. Mimi nikimuona bodaboda na bajaj simtofautishi na daktari kwa kuwa kila mmoja amejiajiri kwa nafasi yake.

Huyu tangu aanze kuchapa fimbo watu pale Arusha nilimfuta mazima.
 
Hakuna Kazi isiyo na Risk

Hata Madereva wa Mabasi makubwa wanapata ajali sana pia

Kusema Kazi ya kuendesha Bodaboda ni LAANA ni kosa kubwa

Wanategemea kazi hiyo kujenga, kuendesha familia, kusomesha n.k

Kinachotakiwa katika Kazi zote ni UMAKINI TU.
 
Maisha sio Lelemama. Inawezekana Lema amelemaa na misaada iliyokuwa inamuwezesha kuishi bila kufanya kazi huko Kanada...

Kasikilize clip ya Lema utaelewa. Vijana wengi wa boda wanakufa baada ya muda mfupi, kisa afya ya kifua na ajali.
 
Vijana na graduate msikubali kufanywa mafara hao wanasiasa uchwara wanawanyima ajira halafu wanawaambia mkajiajiri kwa kuendesha bodaboda
 
Back
Top Bottom