Arusha: Yaliyojiri mapokezi ya Godbless Lema, Adai VICOBA ni umasikini, Mama lishe ni utumwa, Samia asitukanwe, Mbowe ampa kazi ya Katiba Mpya

Huyu mjinga alipelekwaga arusha kupigana na lema akachapa vijana fimbo kipumbafu sasa kaibuka hko ghafla anatafuta umaarufu tena hatopata
 
Wapo waliosomesha watoto wao kwa kuuza gongo,mirungi,ngadu,wizi wa mali ya umma,ujambazi na hata rushwa.
Je nao wasifiwe kisa wamesomesha? Jenga hoja yako kwa kutulia
 
Nataka pia lema akumbuke kuwa hata wakati ni mbunge boda boda Arusha zilikuwepo. Alifanya nini kusaidia vijana hata wa jimbo lake tu waondoke katika laana anayoisema? Kukaa ubelgiji ndo amesahau maisha yetu inasikitisha.
 
Huyo ni former thief wa magari. Anachothamini ni yule anayemlipa. Zito katuambia baada ya uchaguzi 2020 alipewa offer ya ukimbizi na kuahiidiwa kugharamikiwa kila kitu. Hapo karudi bila familia kubeep fursa. Wanaomtunza ndio wamemtuma. Lazima kama lissu atarudi. Kashakua kibaraka wa ubeberu.
 
Wapo waliosomesha watoto wao kwa kuuza gongo,mirungi,ngadu,wizi wa mali ya umma,ujambazi na hata rushwa.
Je nao wasifiwe kisa wamesomesha? Jenga hoja yako kwa kutulia
Unataka kusema nini mkuu
 
Lema katoa Siri aliyokatazwa asiseme tena akafungulia Sauti kubwa mbele ya mkewe

Lema amepoteza Sifa ya kuwa Kiongozi
bodaboda ni laana ndio maana watoto wa kitila mkumbo na madelu wako BOT huku wajinga wakihadaiwa kuwa bodaboda ni kaz kungun na machawa wamepagawa kombora moja la lema, je yale makombora 99 yaliyobaki mtahimili kweli.
 
Jiulize mwenyewe ulichoandika kina mantiki gani.?
Kikubwa hapa ni je Serikali inakuzaje ajira Kwa watu wake na hasa vijana wanaomaliza Shule na kozi za hapa na pale?
Yaani unaona ni Hali vijana waendelee kuwa watumwa wa matajiri Kwa hizi bodaboda ambazo nyingi ni za wenye uwezo na wachache wanaweza kufikisha mkataba kabla hawajakutia au kushinda kabisa.
 
Hujui mamlaka na majukumu ya mbunge hapo ulipo, mbunge siyo mtawala ni msemaji tu. Unamlaumu golikipa kwa magoli kukataliwa na refa!!
expand...
Uongozi ni pamoja na kuwa na akili njema na kufikiri vema kuhusu anaowaongoza!

Mbali na kuwasemea wananchi I kuhakikisha huduma zimewafikia sawasawa, Mbunge pia ni mtu ambaye anauhuru wa kuingia ofis yoyote au Taasisi yoyote akiwa na agenda ya wananchi na akasikilizwa!
Ila inawahusu watu simarti tu na sio kila mbunge /kiongozi anaweza kutatua changamoto ya wananchi nje ya mfumo alioaminishwa eti serikali peke yake ndo itashughurikia kero za wananchi

Kuwa mbunge haitoshi tu kusema kero za jimbo lako

unadhani mkuu Tunachagua wabunge wa nini sasa hata hawana uwezo wowote binafsi wa kushughurikia kero zetu?
 
Unasikitishwa Nini au Kwa vile wewe unayo ajira na unalamba asali?
 
Naona wanaompenda Lema wanahisi yeye ni Malaika hakosei,ile kauli si ya hekima, Yes nchi yetu inashida nyingi ikiwemo hali ngumu ya vijana wengi,ila haiwezi kujustify kwamba Lema alichokisema hakukosea.Nikwasababu tu nchi yetu imekuwa ya kijinga kila jambo linakaa kisiasa zaidi na kila mtu anapambana kutetea jambo hata kama ni la kijinga tu
 
kwa hio zito ni lema, kama aliambiwa zito hio offer ndo na lema aliambiwa, huyo zito dalali wa kisiasa toka lini akaaminika.
 
Mkuu hii sio ajira. Wanapopata ajali hawana malipo yote wanayopata na tiba ni juu ya wanafamilia zao. CCM haiwaangalii pale MOI au KCMC, Bugando Wala Meru Hosp.
Nukta. Acheni siasa.
 
Huu ni upuuzi mtupu ulioandika!

Wewe ulizaliwa na nini? Zaidi ya kuvikuta vyote hapa duniani, na unaanzaje kujitawala na kujitegemea?

Ni vema uanze kuegama kwa walionacho ili nawe upate kuanzio

Licha kwamba bodaboda wanazokuwa nazo vijana ni za mabosi wao, lakini humohumo nao wanapata pesa hadi kununua zao
 
Ninataka kusema kazi ambazo watu wanazifanya kama mgadala zisishabikiwe eti kisatu mhusika kasomesha wanae. Hata kazi haram ikisomesha ipigiwe chapuo?
Ipi haramu? Boda boda ni haramu?
 
Ipi haramu? Boda boda ni haramu?
Mleta mada amesema bodaboda wanasomesha watoto wao kupitia kazi hiyo ndio maana nimesema kusomesha watoto sio kinga yakazi hiyo kutosemwa changamoto zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…