Arusha: Yaliyojiri mapokezi ya Godbless Lema, Adai VICOBA ni umasikini, Mama lishe ni utumwa, Samia asitukanwe, Mbowe ampa kazi ya Katiba Mpya

Mkuu una miaka mingapi? Huenda tunachangia hoja ya kitoto Cha miaka 16 kisivhojua kuwa Lena Hana vipindi vi 3 vya ubunge
Hata kama ni kimoja ,alifanya nini zaidi ya kwenda kutumia bunge kuhamasisha ujinga ?
 
Lema anakusanya kodi? wajinga wakubwa nyie, mbona watoto wenu hawapo kwenye ajira ya bodaboda? kuna mtoto wa Waziri, RC, KM, RAS, DAS, DC, DED, Mbunge ni bodaboda? ukimtaja mmoja najinyea siku nzima
Au akitajwa mmoja Tu uitwe Mbwa
 
Hili jinga lema ukiliuliza kwani anataka ubunge hata hajui
 


Boda boda ni masikini sana kama unakipato cha tsh 10,000 kwa siku ni masikini wa kutupa. Ana pata support kubwa kwasababu yeye ni Hustler kama wana Arusha yaani mpambanaji. Huwezi kukaa na kusubiri serikali wakati kuna watalii milioni mbili wanapita Arusha, mashaba na wateja kenya , masoko ya vyakula kwa Hotel za Arusha. Kwani Lema kafikaje hapo?
 
Hili jinga lema ukiliuliza kwani anataka ubunge hata hajui


Jamaa bilionea kama hujui mta endelea kumuita mjinga na kununua PHD mwenzenu ni Hustler familia Camada biashara zaidi ya 10 . 🤔 kama huo ndiyo ujinga basi vijana wengi watatafuta
 

Hakuna mtu hapa Duniani anapenda na kutamani kijana wake awe bodaboda ili ajipatie kipato ni hali ya kukosa ajira na umaskini tu. Tuache siasa za kipumbavu na kinafiki.
 
Lema katoa boko lingine kwa kusema VICOBA ni umaskini. Nadhani ifike mahali CHADEMA wampige stop kuongea na vyombo vya habari kwa muda. Hao bodaboda anaowakashifu ndo wengi wao walimpokea KIA.. wanachama wa vicoba wengi wao ni kina mama ambao ndo kundi muhimu sana kimkakati kwenye uchaguzi. CHADEMA kwa kupitia Lema watapoteza kura nyingi sana kutoka kwenye haya makundi. Anawakatisha sana tamaa waliomtegemea kama mtetezi wao.
 
We mjinga Sana nyie kina chongolo watoto wenu hawafanyi bodaboda?. Mbwa Kabisa nyie mnafurahia umasikini kwa Watz vikoba ni umasikini kwani hujui.
 
Unaitwa kisamv kwani yule ffu anaeliwa kiisamv kadi ya CCM alichukulia tawi lipi.

Police CCM anafokolewa
 
Lema anakusanya kodi? wajinga wakubwa nyie, mbona watoto wenu hawapo kwenye ajira ya bodaboda? kuna mtoto wa Waziri, RC, KM, RAS, DAS, DC, DED, Mbunge ni bodaboda? ukimtaja mmoja najinyea siku nzima
Mwambie babako nae akatafute uwazili ili ufanye kazi zingine.
 
Akamuombe radhi mamako au? Bodaboda hawana hata habari kuwa kuna mpumbavu humu anatetea upumbavu. Lema tangu arudi vijana wa Gambo kihoro kimepanda sana
 
Mjumbe wa Kamati kuu ya CHADEMA Godbless Lema amesema alilkimbia nchi baada ya kukoswakoswa kuuawa mara kadhaa na kutekwa pia.

Lema amesema kama ilivyokuwa kwa Tundu Lissu na Ben Saanane, hata yeye alikuwa akipokea vitisho vingi na nyumba yake ya Machame ilichomwa moto.

Hata alipoenda kukagua Migodi yake ya madini imlazimu avae baibui ili kuwakwepa maadui zake.

Lema anasema ilifika wakati mkewe aliwekewa madawa ya kulevya na kuna wakati alibambikiwa kesi ya Wizi wa Gari ambalo ni mali yao.

Lema alikuwa akihojiwa na Watangazaji nguli wa Clouds Media.

Source: Clouds
 
S
Lema anakusanya kodi? wajinga wakubwa nyie, mbona watoto wenu hawapo kwenye ajira ya bodaboda? kuna mtoto wa Waziri, RC, KM, RAS, DAS, DC, DED, Mbunge ni bodaboda? ukimtaja mmoja najinyea siku nzima
Sasa kama hakusanyi kodi alitafuta nini pale arusha ili kupotezea watu mda kwa vipindi alipokuwa mbunge?
Si angejiudhuru ili awa achie wakusanya kodi wawatumikie.
Joe devi anatoa milioni mia twambie huwa anakudanya kodi wapi?

Lema ni mbinafsi na ndo maana kaacha familia huko akiona hapa tz sio sehemu ya kutunza familia yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…