Hata kama ni kimoja ,alifanya nini zaidi ya kwenda kutumia bunge kuhamasisha ujinga ?Mkuu una miaka mingapi? Huenda tunachangia hoja ya kitoto Cha miaka 16 kisivhojua kuwa Lena Hana vipindi vi 3 vya ubunge
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata kama ni kimoja ,alifanya nini zaidi ya kwenda kutumia bunge kuhamasisha ujinga ?Mkuu una miaka mingapi? Huenda tunachangia hoja ya kitoto Cha miaka 16 kisivhojua kuwa Lena Hana vipindi vi 3 vya ubunge
Ujinga upi?Hata kama ni kimoja ,alifanya nini zaidi ya kwenda kutumia bunge kuhamasisha ujinga ?
Au akitajwa mmoja Tu uitwe MbwaLema anakusanya kodi? wajinga wakubwa nyie, mbona watoto wenu hawapo kwenye ajira ya bodaboda? kuna mtoto wa Waziri, RC, KM, RAS, DAS, DC, DED, Mbunge ni bodaboda? ukimtaja mmoja najinyea siku nzima
Kutabiria watu vifooUjinga upi?
Hili jinga lema ukiliuliza kwani anataka ubunge hata hajuiYule baba Prophet katoa pesa zake milioni 100 kusaidia wananchi ambapo si mbunge wala kiongozi yoyote wa serikali, inatokea tu kajamaa ambako kalikuwa kakilipwa mamilioni ya fedha na posho kibao, na hakakuchangia chochote kwa wananchi, halafu kanatoa kashifa mbele ya haohao wananchi ambao kaliwafanya mgongo wa kupandia eti mmelaaniwa kwa sababu ya biashara zenu za kufukuza upepo?
Siasa zingine za kijinga tu!
Tamko la Lema kuwahusu bodaboda, ni msimamo wa Chadema? Na kama siyo, Lema akemewe mara moja!
Mtu amekuwa mbunge zaidi ya miaka 15, bodaboda alizikuta na akaziacha, lakini hakufanya lolote ili tu kuwatoa hao bodaboda kwenye biashara hiyo ya laana kama anavyodai, isitoshe, bodaboda zimekuwa zikitumika sana kwenye mikutano ya Chadema na zimekuwa zikikiheshimisha chama na Viongozi wake
Sisi tukuiteje?
Ni ujingaa au Canada anataka kuihamishia Tanzania kwa maneno tupu?
Bodaboda zimesomesha watoto na wengine wapo vyuoni wazazi wao wakiwasomesha kwa hizo boda, halafu mtu mmoja tu kutoka Kanada tena kwa ukimbizi wa kuhongwa ili tu aitwe mkimbizi aje kutukana kazi zetu?
Lema, ulilpaswa kuwasimanga boda baada ya kuainisha ulichowafanyia wana Arusha miaka 15 ukiwa mbunge na au ungeshuka na mbadala wa kazi hiyo kutokea huko Canada
Lema, Licha ya kukaa ughaibuni miaka zaidi ya miwili bado haikutosha kuondoa upuuzi wa kufikiri?
Kwani Nani hatokufa?Kutabiria watu vifoo
Yule baba Prophet katoa pesa zake milioni 100 kusaidia wananchi ambapo si mbunge wala kiongozi yoyote wa serikali, inatokea tu kajamaa ambako kalikuwa kakilipwa mamilioni ya fedha na posho kibao, na hakakuchangia chochote kwa wananchi, halafu kanatoa kashifa mbele ya haohao wananchi ambao kaliwafanya mgongo wa kupandia eti mmelaaniwa kwa sababu ya biashara zenu za kufukuza upepo?
Siasa zingine za kijinga tu!
Tamko la Lema kuwahusu bodaboda, ni msimamo wa Chadema? Na kama siyo, Lema akemewe mara moja!
Mtu amekuwa mbunge zaidi ya miaka 15, bodaboda alizikuta na akaziacha, lakini hakufanya lolote ili tu kuwatoa hao bodaboda kwenye biashara hiyo ya laana kama anavyodai, isitoshe, bodaboda zimekuwa zikitumika sana kwenye mikutano ya Chadema na zimekuwa zikikiheshimisha chama na Viongozi wake
Sisi tukuiteje?
Ni ujingaa au Canada anataka kuihamishia Tanzania kwa maneno tupu?
Bodaboda zimesomesha watoto na wengine wapo vyuoni wazazi wao wakiwasomesha kwa hizo boda, halafu mtu mmoja tu kutoka Kanada tena kwa ukimbizi wa kuhongwa ili tu aitwe mkimbizi aje kutukana kazi zetu?
Lema, ulilpaswa kuwasimanga boda baada ya kuainisha ulichowafanyia wana Arusha miaka 15 ukiwa mbunge na au ungeshuka na mbadala wa kazi hiyo kutokea huko Canada
Lema, Licha ya kukaa ughaibuni miaka zaidi ya miwili bado haikutosha kuondoa upuuzi wa kufikiri?
Hili jinga lema ukiliuliza kwani anataka ubunge hata hajui
We mjinga Sana nyie kina chongolo watoto wenu hawafanyi bodaboda?. Mbwa Kabisa nyie mnafurahia umasikini kwa Watz vikoba ni umasikini kwani hujui.Lema katoa boko lingine kwa kusema VICOBA ni umaskini. Nadhani ifike mahali CHADEMA wampige stop kuongea na vyombo vya habari kwa muda. Hao bodaboda anaowakashifu ndo wengi wao walimpokea KIA.. wanachama wa vicoba wengi wao ni kina mama ambao ndo kundi muhimu sana kimkakati kwenye uchaguzi. CHADEMA kwa kupitia Lema watapoteza kura nyingi sana kutoka kwenye haya makundi. Anawakatisha sana tamaa waliomtegemea kama mtetezi wao.
Unaitwa kisamv kwani yule ffu anaeliwa kiisamv kadi ya CCM alichukulia tawi lipi.Yule baba Prophet katoa pesa zake milioni 100 kusaidia wananchi ambapo si mbunge wala kiongozi yoyote wa serikali, inatokea tu kajamaa ambako kalikuwa kakilipwa mamilioni ya fedha na posho kibao, na hakakuchangia chochote kwa wananchi, halafu kanatoa kashifa mbele ya haohao wananchi ambao kaliwafanya mgongo wa kupandia eti mmelaaniwa kwa sababu ya biashara zenu za kufukuza upepo?
Siasa zingine za kijinga tu!
Tamko la Lema kuwahusu bodaboda, ni msimamo wa Chadema? Na kama siyo, Lema akemewe mara moja!
Mtu amekuwa mbunge zaidi ya miaka 15, bodaboda alizikuta na akaziacha, lakini hakufanya lolote ili tu kuwatoa hao bodaboda kwenye biashara hiyo ya laana kama anavyodai, isitoshe, bodaboda zimekuwa zikitumika sana kwenye mikutano ya Chadema na zimekuwa zikikiheshimisha chama na Viongozi wake
Sisi tukuiteje?
Ni ujingaa au Canada anataka kuihamishia Tanzania kwa maneno tupu?
Bodaboda zimesomesha watoto na wengine wapo vyuoni wazazi wao wakiwasomesha kwa hizo boda, halafu mtu mmoja tu kutoka Kanada tena kwa ukimbizi wa kuhongwa ili tu aitwe mkimbizi aje kutukana kazi zetu?
Lema, ulilpaswa kuwasimanga boda baada ya kuainisha ulichowafanyia wana Arusha miaka 15 ukiwa mbunge na au ungeshuka na mbadala wa kazi hiyo kutokea huko Canada
Lema, Licha ya kukaa ughaibuni miaka zaidi ya miwili bado haikutosha kuondoa upuuzi wa kufikiri?
Mwambie babako nae akatafute uwazili ili ufanye kazi zingine.Lema anakusanya kodi? wajinga wakubwa nyie, mbona watoto wenu hawapo kwenye ajira ya bodaboda? kuna mtoto wa Waziri, RC, KM, RAS, DAS, DC, DED, Mbunge ni bodaboda? ukimtaja mmoja najinyea siku nzima
Akamuombe radhi mamako au? Bodaboda hawana hata habari kuwa kuna mpumbavu humu anatetea upumbavu. Lema tangu arudi vijana wa Gambo kihoro kimepanda sanaGodbless Lema amewatukana vijana Waliojiajiri kwa kuwaambia wanafanya kazi za laana, hii suala limeacha simanzi kwa vijana wengi sana.
Jana nilikua Arusha nimezunguka sehemu mbalimbali kuona wamepokeaje kauli hii yenye dharau kubwa sana. Hakika walio wengi wanajuta kwa Nini walienda Kumpokea Lema.
Serikali inapambana usiku na mchana ili vijana wapate ajira na wajiajiri alafu leo lema anakuja kuwatukana?
Lema anapaswa kuomba radhi kwa kauli hii. Yeye kwa kuwa anakula na kulala bure kule canada basi anataka watu wote waishi hivyo kitu ambacho hakiwezekani. Imeandikwa kwenye vitabu takatifu kuwa mwanaume atakula kwa jasho, wewe inakuaje unakula bure alafu unaleta dharau kwa wanaokula kwa jasho?
Lema anapaswa kuomba radhi mara moja kwa kauli hii.
Kibongobongo ukiwa na nyumba na gari si bhas we huna hata kimoja hapo una pumb* tuYaani kujenga ndio umeona ni maendeleo 😁😁
Sasa kama hakusanyi kodi alitafuta nini pale arusha ili kupotezea watu mda kwa vipindi alipokuwa mbunge?Lema anakusanya kodi? wajinga wakubwa nyie, mbona watoto wenu hawapo kwenye ajira ya bodaboda? kuna mtoto wa Waziri, RC, KM, RAS, DAS, DC, DED, Mbunge ni bodaboda? ukimtaja mmoja najinyea siku nzima
Hajui political climate ikoje...Lema imekuwaje? Mbona kama vile kawa kichaa?