Uko sahihi.Ila tuwe wakweli tukiweka siasa pembeni....kudharau Kaz ya mtu Kwa maneno ingali humsaidii Kwa vitendo inaumiza kweli kaka...sana yaan
kumbe ni kichaa !!Mama yako ndo anaweza kujibu hilo swali.
Ndio vile tena !Kichaa ni Jiwe Mwendakuzimu
Aliharibu sana nchi Yule Nyang'au
Lazima!Alivyokuwa kavaa baibui na miondoko nayo akabadilisha au
Vyote sawa tuSio kwamba wao ndo wanawachapa wamama wa nyumbani?
🤣🤣🤣🤣🤣😂😂 Unaweza kutongoza kumbe ni bwashee Lema!
[emoji419][emoji419][emoji419]Ila kuna angle CHADEMA inabidi watambue kwamba wanatakiwa ku move on..
Mimi kama mwananchi ukianza kuniambia story za awamu ya tano, haunisaidii chochote...
Ndio tunajua awamu ya tano ilikuwa na mambo ya hovyo.. but keep blaming doesnt change what has already happened.
Mbula 😅😅 😅 😅😂😂 Unaweza kutongoza kumbe ni bwashee Lema!
Lkn ndio karud nchini kwa mara ya kwanza je haitakiw kusema madhira waliyopitia? Kusema ukwel uovu uliotaka kufanyiwa ni dhambi? Kwann mchukie watu kusema maumiv waliyopitia? Na kwann yasisemwe? Sheria ya Nchi inakataza? Kuna maumiv gan mnapata wahanga wakisema waliyopitia?Hajui political climate ikoje...
Watu washachoshwa na siasa za harakati...na kushambuliana ..
Very soon watamchoka
Achokwe mara ngapi!Hajui political climate ikoje...
Watu washachoshwa na siasa za harakati...na kushambuliana ..
Very soon watamchoka
Bora useme weweLema imekuwaje? Mbona kama vile kawa kichaa?
Wewe yanakusaidia nini au yanabadilisha nini kwenye hii bei ya mchele iliyopandaLkn ndio karud nchini kwa mara ya kwanza je haitakiw kusema madhira waliyopitia? Kusema ukwel uovu uliotaka kufanyiwa ni dhambi? Kwann mchukie watu kusema maumiv waliyopitia? Na kwann yasisemwe? Sheria ya Nchi inakataza? Kuna maumiv gan mnapata wahanga wakisema waliyopitia?
Hata akisema nani atamuamini maana anayemtuhumu alishafarikiLkn ndio karud nchini kwa mara ya kwanza je haitakiw kusema madhira waliyopitia? Kusema ukwel uovu uliotaka kufanyiwa ni dhambi? Kwann mchukie watu kusema maumiv waliyopitia? Na kwann yasisemwe? Sheria ya Nchi inakataza? Kuna maumiv gan mnapata wahanga wakisema waliyopitia?
Vishinikizo walivyopatiwa....waleee wenye gredi gredi , wanyamazishe lile lilioitwa 'vita ya uchumi'Matusi ya nini?
Wamepewa majukwaa ya siasa, tunategemea hoja za kimaendeleo na si za ubinafsi.
Hivyo basi, LENGO KUU la hoja zao kwenye hiyo mikutano, ni nini hasa?
Ila kuna angle CHADEMA inabidi watambue kwamba wanatakiwa ku move on..
Mimi kama mwananchi ukianza kuniambia story za awamu ya tano, haunisaidii chochote...
Ndio tunajua awamu ya tano ilikuwa na mambo ya hovyo.. but keep blaming doesnt change what has already happened.