SYLLOGIST!
JF-Expert Member
- Dec 28, 2007
- 8,189
- 7,853
We acha tu, kimikogo mikogo aiseee, sina mbavu ππ π π π πππJuu katupia baibui, chini kapiga buti la jeje.
Sijui hata alikuwa ana tembeaje, maana kuna mwendo wa baibui, siyo kutembea kiholela tu.
Labda alikuwa anaweka na kigodoro,Akisema anaonekana kituko, maana uongo wake unakuwa dhahiri. Lema na baibui wapi na wapi? Ni mrefu sana kwa maumbile ya kawaida ya mwanamke hasa wa kibongo, size ya mguu, mwendo na kadhalika. Hivi ni mjinga gani, achilia mbali afisa usalama (trained) au adui anayemtaka hasa, anaweza kuingia kingi kuwa huyo mvaa baibui ni mbususu! Kweli?
Kupangia watu namna ya kuishi na pesa zao ni upumbavu
Ilikuwa ya hovyo kwa watu wa hovyo. Lema ana hasira ya kutaifishiwa bureau de change yake kule arusha.Ila kuna angle CHADEMA inabidi watambue kwamba wanatakiwa ku move on..
Mimi kama mwananchi ukianza kuniambia story za awamu ya tano, haunisaidii chochote...
Ndio tunajua awamu ya tano ilikuwa na mambo ya hovyo.. but keep blaming doesnt change what has already happened.
What if kama aliulizwa kilichomuondoa nchini?Ila kuna angle CHADEMA inabidi watambue kwamba wanatakiwa ku move on..
Mimi kama mwananchi ukianza kuniambia story za awamu ya tano, haunisaidii chochote...
Ndio tunajua awamu ya tano ilikuwa na mambo ya hovyo.. but keep blaming doesnt change what has already happened.
Pale Askari polisi kule PEMBA akigawa penzi.Katikati Tumbiri vs Jesca
Wewe angekuwa Mama yako au Baba yako au watoto wako wamepotea hujaona hata makaburi yao ungekubali huo ujingaIla kuna angle CHADEMA inabidi watambue kwamba wanatakiwa ku move on..
Mimi kama mwananchi ukianza kuniambia story za awamu ya tano, haunisaidii chochote...
Ndio tunajua awamu ya tano ilikuwa na mambo ya hovyo.. but keep blaming doesnt change what has already happened.
Kwenye psychology kuna kitu kinaitwa "allow the victim to vomit" Hivi haya mambo kina Lema wangeyasemea wapi Kama sio kwenye majukwaani ya mikutano ya kisiasa na kwenye media? Je awamu ya tano ingewezekana? Clouds iliyovamiwa na Bashite na Nape kufukuzwa uwaziri ingeweza kufanya mahojiano live coverage na Lema? Hivi tunakosa kabsa akili ya kuelewa kuwa Lema anatema nyongo ikizingatiwa alishakaa gereza la Kisongo Arusha zaidi ya miezi minne kwa kosa la kuota ndoto kuwa Magufuli akiendeleza unyanyasaji Mungu atamchukua. Hatujui Sugu alisha kaa gerezani? Badae alifatwa na Dr Kitila Mkumbo akishawishiwa kuunga Juhudi akagoma badae kina Pole pole wakampelekea plain cheque imesainiwa tu yeye aandike amount tu akagoma hotel yake ikapigwa x kwamba ibomolewe hapo bado Mbowe akikusimulia kuanzia bill canas mpaka kule Machame kwenye mashamba yake utashangaa. Mambo waliyofanyiwa upinzani awamu ya tano hawatakuja kuyasahau kamwe ni kama vile mwanaume aliyegundua na kushuhudia mke wake kamsaliti sasa anajaribu kumsamehe na kusahau HAIWEZEKANI KAMWE.Lkn ndio karud nchini kwa mara ya kwanza je haitakiw kusema madhira waliyopitia? Kusema ukwel uovu uliotaka kufanyiwa ni dhambi? Kwann mchukie watu kusema maumiv waliyopitia? Na kwann yasisemwe? Sheria ya Nchi inakataza? Kuna maumiv gan mnapata wahanga wakisema waliyopitia?
Lema ni muongo mkubwa. Wamuue yeye kwa impact ipi alikuwa nayo?Mjumbe wa kamati kuu ya Chadema mh Godbless Lema amesema alilkimbia nchi Baada ya kukoswakoswa kuuawa mara kadhaa na kutekwa pia
Lema amesema kama ilivyokuwa kwa Tundu Lisu na Ben Saanane hata yeye alikuwa akipokea vitisho vingi na Nyumba yake ya Machame ilichomwa moto
Hata alipoenda kukagua Migodi yake ya madini imlazimu avae baibui ili kuwakwepa maadui zake
Lema anasema ilifika Wakati mkewe aliwekewa madawa ya kulevya na kuna Wakati alibambikiwa kesi ya Wizi wa Gari ambalo mali yao
Lema alikuwa akihojiwa na Watangazaji nguli wa Clouds Media
Source: Clouds
Kichaa kwasababu anawavua nguo mchana kweupe!!?Lema imekuwaje? Mbona kama vile kawa kichaa?
Kwani aliwekwa gerezani kwa impact ipi aliyokuwa nayo!!!?Lema ni muongo mkubwa. Wamuue yeye kwa impact ipi alikuwa nayo?
tUlia,tuelezwe alichokuwa akikifanya yule pimbi kutoka chato na wanaeLema imekuwaje? Mbona kama vile kawa kichaa?
Kashalamba asali na moja ya maelekezo ya kulambishwa asali ni kuikandia awamu ya tano ili kuficha madhaifu ya utawala uliopo yasijadiliwe na umma.Ila kuna angle CHADEMA inabidi watambue kwamba wanatakiwa ku move on..
Mimi kama mwananchi ukianza kuniambia story za awamu ya tano, haunisaidii chochote...
Ndio tunajua awamu ya tano ilikuwa na mambo ya hovyo.. but keep blaming doesnt change what has already happened.