ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Wewe akili kubwa umeelewa nini?Akili ndogo. Mnashindwa kuelewa nini, au kijani ww?
Ndio maana unaambiwa, kinachohitajika ili kupunguza hizo ajali ni elimu, hao madereva wa bodaboda wapewe elimu hasa tukizingatia serikali haina njia nyingine za kuwawezesha kujiajiri, au kuwaajiri.Nenda jeshi la Polisi ukapate takwimu za ajali za bodaboda. Hakuna hata siku moja inayopita bila ya vifo vilivyosababishwa na ajali za bodaboda.
Ajali zipo kwenye shughuli zote, za usafirishaji, uzalishaji, hata kwenye starehe. Lakini ajali kugeuka kuwa janga ni pale idadi yake inapokuwa ya kupindukia.
Uliwahi kusikia kuna hospitali imetenga wodi maalum kwaajili ya waliopata ajali za mabasi? Lakini kwa bodaboda, zipo. Mpaka hapo, hupati tu ujumbe, hata kama huna access ya takwimu za ajali nchini?
Kwani tofauti ya Vicoba na Kukopa bank ni ipi? Huko banks nyumba hazijauzwa?Vikoba ni umasikini.
Vimevunja ndoa nyingi.
Mashamba yameuzwa.
NYumba zimeuzwa.
Fanicha ndio usiseme.
Watengenezaji.Aliyesema pikipiki haikuundwa kama chombo cha umma ni Nani?
Vp mikopo ya benki hakuna ndoa zilizovunjwa ?Vikoba ni umasikini.
Vimevunja ndoa nyingi.
Mashamba yameuzwa.
NYumba zimeuzwa.
Fanicha ndio usiseme.
Cicoba ni michosho tu, kwa hili mbona Lema naungana nayeLema achunguzwe isije kua Canada wamefanya yao. Wazungu hawakufadhili bure, lazima wafaidi kitu kutoka kwako.
Moshi wamama wamekimbia familia, mbuzi wameuzwaVikoba ni umasikini.
Vimevunja ndoa nyingi.
Mashamba yameuzwa.
NYumba zimeuzwa.
Fanicha ndio usiseme.
Rubbish, ualimu ni laana pia kwa tanzania! Finland mwal;imu ana mshahara kuliko al;most kada zote! hapa ni Laana na ndiyo maana walikuwa wanakwenda form 4&6 failuresBwanamdogo huyu kwa sasa hachagui la kusema yaani kuishi canada kidogo anajifanya anaweza kufikiri tofauti na waliobaki Arusha!
Kazi ya Bodaboda kasema ni laana kubwa, karudia tena kuwa vicoba vya akina mama ni laana kubwa pia, aangaliwe vizuri anaweza kutaja hadi kazi ya walimu maana hajui kuchagua maneno huyu jamaa.
Watakaomchagua huko Arusha watakuwa ni washenzi.Aachane na yasiyo muhusu.
Bank wana ka huruma fulani,ile ni professionalKwani tofauti ya Vicoba na Kukopa bank ni ipi? Huko banks nyumba hazijauzwa?
Hii dhana ya kusubiri eti serikali ifanye hiki/ifanye kile ndio inafanya baadhi ya mikoa wanafunzi bado wanakalia mawe darasani badala ya madawatiAkili ndogo haiwezi kuelewa positively ilichoongea akili kubwa. Lema analenga kuwamsha msiridhike na maisha hayo bali mdai Serikali iwajengee mazingira ya kupata maisha bora zaidi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hili nalo ni tatizo, nendeni mkalitazame[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Vikoba bila elim ya fedha ni laana. Imagine mtu anakopa Hela badala ya kuzalisha,anaenda kununua sofa,nyumba ya panya.