Arusha: Yaliyojiri mapokezi ya Godbless Lema, Adai VICOBA ni umasikini, Mama lishe ni utumwa, Samia asitukanwe, Mbowe ampa kazi ya Katiba Mpya

Arusha: Yaliyojiri mapokezi ya Godbless Lema, Adai VICOBA ni umasikini, Mama lishe ni utumwa, Samia asitukanwe, Mbowe ampa kazi ya Katiba Mpya

Nenda jeshi la Polisi ukapate takwimu za ajali za bodaboda. Hakuna hata siku moja inayopita bila ya vifo vilivyosababishwa na ajali za bodaboda.

Ajali zipo kwenye shughuli zote, za usafirishaji, uzalishaji, hata kwenye starehe. Lakini ajali kugeuka kuwa janga ni pale idadi yake inapokuwa ya kupindukia.

Uliwahi kusikia kuna hospitali imetenga wodi maalum kwaajili ya waliopata ajali za mabasi? Lakini kwa bodaboda, zipo. Mpaka hapo, hupati tu ujumbe, hata kama huna access ya takwimu za ajali nchini?
Ndio maana unaambiwa, kinachohitajika ili kupunguza hizo ajali ni elimu, hao madereva wa bodaboda wapewe elimu hasa tukizingatia serikali haina njia nyingine za kuwawezesha kujiajiri, au kuwaajiri.

Kuendelea kulaumu kuhusu uwepo wa ajali za bodaboda, na kuiita kazi ya laana, pasipo kuwa na njia mbadala, nalo ni tatizo kubwa zaidi, au mnataka hao vijana waache bodaboda wakawe panya road, kisha waje wakudhuru mpaka wewe unaewahurumia sana?
 
Aliyesema pikipiki haikuundwa kama chombo cha umma ni Nani?
Watengenezaji.

Pikipiki haijatengenezwa kwa lengo la kuwa chombo cha usafiri wa umma.

Motorbikes are not for passengers

A passenger will affect the handling characteristics of a motorcycle due to the extra weight and independent motion. A passenger tends to move forward in quick stops and may “bump” your helmet with theirs. Starting from a stop may require more throttle and clutch finesse. Braking procedures may be affected.
 
Vikoba ni umasikini.
Vimevunja ndoa nyingi.

Mashamba yameuzwa.
NYumba zimeuzwa.
Fanicha ndio usiseme.
Vp mikopo ya benki hakuna ndoa zilizovunjwa ?
Nyumba zilizouzwa
Fenicha zilizouzwa n.k ?
 
Ukifanya utafiti watu wanaoongoza kwa madeni lazima anacheza kikoba
 
Vicoba nilikuwa navichukia ila kuna kipindi nilipungukiwa sikuamini wife alinipa 3m
 
Unakuta mmama anacheza kikoba halafu hana pesa, ujiulize sasa atazitoa wapi?
 
Bwanamdogo huyu kwa sasa hachagui la kusema yaani kuishi canada kidogo anajifanya anaweza kufikiri tofauti na waliobaki Arusha!

Kazi ya Bodaboda kasema ni laana kubwa, karudia tena kuwa vicoba vya akina mama ni laana kubwa pia, aangaliwe vizuri anaweza kutaja hadi kazi ya walimu maana hajui kuchagua maneno huyu jamaa.
Rubbish, ualimu ni laana pia kwa tanzania! Finland mwal;imu ana mshahara kuliko al;most kada zote! hapa ni Laana na ndiyo maana walikuwa wanakwenda form 4&6 failures

Teacher Average Salary in Finland 2023

How much money does a Teacher make in Finland?
A person working as a Teacher in Finland typically earns around 3,570 EUR per month. Salaries range from 1,750 EUR (lowest) to 5,570 EUR (highest).
 
Vikoba bila elim ya fedha ni laana. Imagine mtu anakopa Hela badala ya kuzalisha,anaenda kununua sofa,nyumba ya panya.
 
Akili ndogo haiwezi kuelewa positively ilichoongea akili kubwa. Lema analenga kuwamsha msiridhike na maisha hayo bali mdai Serikali iwajengee mazingira ya kupata maisha bora zaidi.
Hii dhana ya kusubiri eti serikali ifanye hiki/ifanye kile ndio inafanya baadhi ya mikoa wanafunzi bado wanakalia mawe darasani badala ya madawati
Hivi tutawezaje kuacha watoto wetu wakalie mawe darasani eti tunasubiri serikali ilete madawati?
 
Back
Top Bottom