Arusha: Yaliyojiri mapokezi ya Godbless Lema, Adai VICOBA ni umasikini, Mama lishe ni utumwa, Samia asitukanwe, Mbowe ampa kazi ya Katiba Mpya

Wafanyabiashara Soko la Samunge wasema Lema hawamtaki
Mwaka 1995 wananchi wa Karatu hawakuwa na tatizo lolote dhidi ya CCM ila waliamua kukiadhibu chama baada ya kukata jina la Wilbroad Slaa waliyemtaka na kurudisha jina la Patrick Qorro ambaye alikuwa mbunge kwa miaka mingi. Enzi za mwalimu Nyerere pia wananchi walimchagua mgonbea binafsi na kumkataa mgombea aliyependwa na Mwalimu Nyerere. 2025 upinzani unaweza kushinda saa tatu asubuhi endapo Gambo atarudishwa kugombea. Ubaya wa Gambo ni kuwavuruga hadi CCM wenzake. Na kwa siasa za Arusha zilivyo huwa ni sekunde kadhaa tu wanaCCM kusapoti kina Lema. CCM isirudie makosa.
 
Niliachaga kuwasikilizA hao mananbii wa uongo kitambo sana
 
Wewe hujui Kolimba alikufaje?

Ni Sawa na hapo ufipa mnavyosema Nitakuchachawangwe!
Unachanganya hadithi, lakini sishangai, ni sifa ya kijani. Mwisho nikuhamaki lakini ukweli unabaki ukweli. Alitoa mawazo yake juu ya Sera ambazo hazimkomboi Mwananchi!!!!!!!
 
Hudhuria mikutano ya CDM utasikia au fuatilia tang kufunguliwa kwa mikutano! NB; Sheria za Nchi hazimzuii raia kuelezea madhira aliyopitia, mtake msitake kila mmoja ataeleza mateso na maumiv tu haijalishi walinda legacy watachukia ama la!!!
How pathetic! Ushindi hauji kwa hisani! Jengeni hoja acheni kejeli
 
 
Unachanganya hadithi, lakini sishangai, ni sifa ya kijani. Mwisho nikuhamaki lakini ukweli unabaki ukweli. Alitoa mawazo yake juu ya Sera ambazo hazimkomboi Mwananchi!!!!!!!
Chacha Wangwe alitaka kutumia haki yake ya kikatiba kugombea Uenyekiti!

Kumbe sumu haionjwi!
 
Lema anawaambia ukweli mchungu watanzania.. hadi wale walikuwa wamelala wataamka. CCM sasa hivi wanaona jamaa anawasanulia kuwaamsha maboya wao
 
What happened. Naona kama vile standard yako imetelemka kwa kiasi kikubwa. Au kuna mtu mwingine huko Lumumba anatumia au mnashare account JF. News ziko below per.
 
Wewe na mimi tulikuwepo awamu ya tano - mikakati tulikuwepo! Ila kwa sasa kusema ukweli sijui! Na wewe Nafikiri hujui! Na ukitaka kwa SAUTI kwamba hujui, utaitwa Sukuma gang! Mimi mikakati wa CCM hii sijaujua.
 
Lema sijui ana elimu ya kiwango gani?, sidhani kama unaweza zungumza hayo ukiwa umefundwa vyema na wazazi wako.
1. huwezi kubeza jitihada za mwingine ktk kutafuta riziki ili naye aishi, bodaboda wanafanya mambo mengi sana hapa nchini, wanalipa kodi, wanasaidia ndugu zao, wanaendesha maisha ya familia zao, wanajiajiri kupunguza vibaka mtaani...wanafanyika baraka kwa watu wengine wanaowazunguka hasa katika kutoa huduma.
2. Nabii huyo hata kama hafanyi kazi kwa kumfurahisha mtu hapa duniani, ila inaonyesha ana upendo kiasi fulani hata kama ni wa kinafki ila anao kwa kuwasaidia wengine, ndio maana hapa duniani hatufanani..mawazo ya lema si mawazo ya nabii, kila mtu afanye lile analolimudu, kama ni kanisa atalijenga na si kwa mapenzi ya lema. πŸ˜€ πŸ˜€
 
Watanzania kuambiwa ukweli mnajitia hasira......Hawa viongozi wa kidini wengi ni msalaba
 
Limbukeni la Canada linachafua chama...
Licha ya Mbowe kuwa tajiri mara kumi au ishirini ya Lema hawezi tukana wananchi masikini namna hii...

Yaani huko Canada kumemfanya atukane kila kitu Tanzania
Halafu atakuja omba Kura Kwa bodaboda
Mimi ni CCM pure. Lakini Mimi nadhan serikali yetu inahitaji kuja na plan kuhusiana na swala Zima la ajira. Ni kweli Toyo imesaidia kupunguza makali ya maisha kwa vijana, lkn zimeleta maafa na ulemavu kwa vijana, maradhi ya pneumonia sugu na ulevi uliopitiliza unaosababishwa na depression. Hao vijana kwa taarifa wanapewa mikataba ya kinyonyaji haswa na wanaowapa hizo PIKIPIKI kwa AHAD za kuzimiliki baada ya muda. Hadi kipindi kifike unakuta PIKIPIKI ni mbovu na ishachakaa.

Zaidi ya hapo nina mashaka na ubora wa vyombo hivyo, hivyo vyombo nchi zilizoendelea haviwezi kuvipokea
 
Kuna haja ya kufanya utafiti zaidi
 
Nna imani atarudia maelezo yake. Ujumbe haukufika ilivyotakiwa..
 
Boda nikazi mbaya sana lkn si laana... bangi hukuusha vitu mchicha waezadhani nimbuyu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…