Ni mjinga tu ndio ataona Lema amekosea..
kwa nini kuna western countries na third world countries?
Western countries sababu kodi za wananchi zitatumika ipasavyo. Miundo mbinu ni kipaumbele. Usafiri wa public ni wa uhakika.. sasa huku kwetu usafiri wa bodaboda ndio tunajivuninia.. Hakuna ajira kwa sababu ya uzembe wa viongozi…
Yes bodaboda ni laana.. Watawala wajifambue waache matumizi mabovu ya pesa za wenyewe….
Ajira ndio wimbo Mkuu kwa vijana sio bodaboda…
Nchi ina resources za kutosha lakini hakuna ajira kutwa kukopa…
Watawala hawasikii
Kuna nadini kuna vyakula kuna vyanzo vya maji kuna ardhi nzuri kuna vivutio vya wataliii lakini ni maskini wa kutupwa…
Lema yupo sahihi … read between the lines utamwelewa. Kaza ubongo uelewe anamaanisha nini.
Lema kanyaga twende.. Ukweli mchungu
Hilo ndilo kosa kubwa alilofanya, mimi kama mimi nimemuelewa, lakini vipi kuhusu mwananchi kule MPITIMBI Songea vijijini? Ataweza kudadavua hiyo kauli kama siye hapa?Lema kazingua. Najua ana ujumbe lakini Je anafahamu kama waTz wengi akili ndogo hawana muda wa ku reason?
Unashangaa kuacha hoja ya KATIBA MPYA? Wewe jamaa sijui umeanza kufuatilia siasa lini!!! Vipi kuhusu hoja ya UFISADI iliyotoswa 2015??? Unaweza upo na nia nzuri, bahati mbaya sana umejiside na WAHUNI, and inashangaza sana mtu mwenye akili timamu yupo tayari kuikabidhi nchi kwa Mbowe, Msigwa, Lema, Sugu
Na wewe hapo UFIPA unafukuza mbu inakuhusu nini mambo ya CCM?Yanakuhusu vipi wewe haya tokea Lumumba? 🤣🤣
Na wewe hapo UFIPA unafukuza mbu inakuhusu nini mambo ya CCM?
Three in 1.Mtu tatu ndani ya track moja arifu.
lumumba elewen bodaboda ni kaz ya laana ndio maana watoto wa kitila mkumbo na madelu huwez kuwakuta huko.Na wewe hapo UFIPA unafukuza mbu inakuhusu nini mambo ya CCM?
buyu la asali linalotolewa na mamayenu kama mtoa rushwa huku akijifanya kupambana na rushwa.Katiba mpya ndani ya Buyu la Asali!
Ufipa st imelizunguka Buyu la Asali!buyu la asali linalotolewa na mamayenu kama mtoa rushwa huku akijifanya kupambana na rushwa.
Mkuu umelenga Ukweli mtupu hapo!Lema mara zote wanasema ukiwa na hasira sana usiongee lolote .lakini pia ukiwa na furaha jizuie usiongee chochote! Hiyo ndio ilimtokea lema akiwa jukwaani ,kelele za washangiliaji zikamwondolea hekima zikamletea kichaa akajikuta anaanza kulaumu hata watu ambao sio sehemu ya ajenda ya mkutano!! Mfano anamwambia mchungaji na nabii geordavie kwamba alikosea kuwasaidia wananchi badala yake angekarabati kanisa lake ! Hiyo haikuwa na mantiki yoyote kwenye hotuba yake !! Pili anadai biashara ya boda boda ni laana ! Anasahau Ile biashara ni kama biashara zingine !! Anataka kutuambia wanaoagiza pikipiki nje waache kuziagiza kwa kuwa ni laana! Anataka kusema maduka ya pikipiki kariakoo na nchi nzima yafungwe kwa sababu ni laana . Labda alitaka kusema makampuni yapikipiki yaache kuiuzia Tanzania pikipiki kwa kuwa ni laana ?? Watanzania wangapi wanaendesha maisha Yao kwa kutegemea pikipki na bajaji ! Ni Kodi kiasi Gani serikali inapata kwa biashara ya pikipiiki. Lema hotuba Yako imekuondolea heshima mtu mzima huchutama waombe radhi bodaboda nchi nzima maana umewatukana!!!