Mwenzie Lissu nae kapiga kimya ghafla...Tutamrudisha alipotoka
Unashindana na wenye nchiMwenzie Lissu nae kapiga kimya ghafla...
Wiki mbili zimeisha bila mrejesho!
Hapo sasa!Unashindana na wenye nchi
haiwezekani form ya mgombea uenyekiti iwe moja tu huku mnajinasibu mmebadilisha wenyeviti. lazima kuwe na ushndani na forms zitolewa kwa wote wanaotaka kugombea uenyekiti.Haiwezekani Mwenyekiti mwingine atoke tena Machame!
Wa Malkina hangaya wanaendesha bodaboda?Hili swali japo bado halijajibiwa na Prof Kitila Mkumbo lakini linafikirisha sana
Watoto wa Viongozi
Mungu wa mbinguni awabariki!
Lisu nae hovyo sana alikuja apa eti kutuonyesha makovo kama mlimbwende jukwaniMwenzie Lissu nae kapiga kimya ghafla...
Wiki mbili zimeisha bila mrejesho!
Siasa za ACT ni za Usnitch snitch.Hapo sasa!
Na mbowe nae kakubali kimyakimya na anaipiga Ruzuku kwa kwenda mbele
[emoji116][emoji419]View attachment 2537726