Arusha: Yaliyojiri mapokezi ya Godbless Lema, Adai VICOBA ni umasikini, Mama lishe ni utumwa, Samia asitukanwe, Mbowe ampa kazi ya Katiba Mpya

Zitto leo amekuwa shujaa wenu?😂😂😂

Asante sana ila msisahau ule ujumbe wake kuwa kama mnampenda sana mwendazake mkazikwe nae Chato
 
Nyie bodaboda mliokuwa mnajishaua kwenye msafara wa Lema, mmemsikia mtu mliekuwa mnamshobokea?

Bodaboda ni kazi ya laana.Mwenzenu kasharidhika na maisha ya Canada.

Endeleeni na ujinga wenu
 
Nyie bodaboda mliokuwa mnajishaua kwenye msafara wa Lema, mmemsikia mtu mliekuwa mnamshobokea?

Bodaboda ni kazi ya laana.Mwenzenu kasharidhika na maisha ya Canada.

Endeleeni na ujinga wenu
Propaganda mavi.
 
Hv kweli umeishi Canada miaka yote hiyo, Leo unarudi bongo baada ya kazi uliyopata huko ya mkataba kuisha na sasa huna kazi ya kufanya unaitisha mkutano...
Muuaji ni kama jambazi. Anaweza kukuua kwa sababu ya sh milioni 1 au kwa sababu ya bilioni 10.

Ben Sanane, Azory, Kanguye, walikuwa na nini cha pekee hadi awapoteze / awaue? Hao walikuwa ni tishio kubwa kwa utawala waķe?
 
Mkuu unapoteza nguvu bure! Umeona anaitwa nani?

Unabishana na marehemu hapo hawezi kukuelewa
 
Sabaya gerezani na boss wake jehanum
 
Nani alijua Lugemalila atatoka jela?
Nani alijua ATCL inaendeshwa kwa hasara?
Nani alijua simba atafungwa 3-0 kwa mkapa?
Nani alijua Samia atakuwa Rais?
Nani alijua Kakobe atakuja funikwa na Mwamposa?
Nani alijua atcl ingekufa tena kifo cha mende?
 
Wewe endelea kuokwa kama ndafu huko jehanam muuaji mkubwa
 
Nyie bodaboda mliokuwa mnajishaua kwenye msafara wa Lema, mmemsikia mtu mliekuwa mnamshobokea?

Bodaboda ni kazi ya laana.Mwenzenu kasharidhika na maisha ya Canada.

Endeleeni na ujinga wenu
Wee nyau unaacha kuwalaani viongozi wako wezi unatafutiza vitu vya kizushi visivyo na tija.
 
Nyie bodaboda mliokuwa mnajishaua kwenye msafara wa Lema, mmemsikia mtu mliekuwa mnamshobokea?

Bodaboda ni kazi ya laana.Mwenzenu kasharidhika na maisha ya Canada.

Endeleeni na ujinga wenu

Naona umepigwa ban sasa umekuja na id ya dhalimu kuendeleza ule utoto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…