Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Zitto leo amekuwa shujaa wenu?😂😂😂Huyo anayedaiwa alikua mwizi wa magari atakua na sababu gani zaidi ya kuleta uongo mtupu. Eti alitaka kuwawa na nani. Kwanza hakua tishio lolote kisiasa kwa serikali ya ccm. Na tunamshukuru zitto kwa kutueleza ukweli. Vibaraka hawa walipewa offer na mabeberu wakimbilie nje kama wakimbizi ili kutumika dhidi ya nchi yao. Badala ya kuruhusiwa kupatiwa makaribisho ya kupanga walitakiwa kukamatwa kwa usaliti.
Asante sana ila msisahau ule ujumbe wake kuwa kama mnampenda sana mwendazake mkazikwe nae Chato