Arusha: Yaliyojiri mapokezi ya Godbless Lema, Adai VICOBA ni umasikini, Mama lishe ni utumwa, Samia asitukanwe, Mbowe ampa kazi ya Katiba Mpya

Arusha: Yaliyojiri mapokezi ya Godbless Lema, Adai VICOBA ni umasikini, Mama lishe ni utumwa, Samia asitukanwe, Mbowe ampa kazi ya Katiba Mpya

Huyo anayedaiwa alikua mwizi wa magari atakua na sababu gani zaidi ya kuleta uongo mtupu. Eti alitaka kuwawa na nani. Kwanza hakua tishio lolote kisiasa kwa serikali ya ccm. Na tunamshukuru zitto kwa kutueleza ukweli. Vibaraka hawa walipewa offer na mabeberu wakimbilie nje kama wakimbizi ili kutumika dhidi ya nchi yao. Badala ya kuruhusiwa kupatiwa makaribisho ya kupanga walitakiwa kukamatwa kwa usaliti.
Zitto leo amekuwa shujaa wenu?😂😂😂

Asante sana ila msisahau ule ujumbe wake kuwa kama mnampenda sana mwendazake mkazikwe nae Chato
 
Nyie bodaboda mliokuwa mnajishaua kwenye msafara wa Lema, mmemsikia mtu mliekuwa mnamshobokea?

Bodaboda ni kazi ya laana.Mwenzenu kasharidhika na maisha ya Canada.

Endeleeni na ujinga wenu
 
Nyie bodaboda mliokuwa mnajishaua kwenye msafara wa Lema, mmemsikia mtu mliekuwa mnamshobokea?

Bodaboda ni kazi ya laana.Mwenzenu kasharidhika na maisha ya Canada.

Endeleeni na ujinga wenu
Propaganda mavi.
 
Hv kweli umeishi Canada miaka yote hiyo, Leo unarudi bongo baada ya kazi uliyopata huko ya mkataba kuisha na sasa huna kazi ya kufanya unaitisha mkutano...
Muuaji ni kama jambazi. Anaweza kukuua kwa sababu ya sh milioni 1 au kwa sababu ya bilioni 10.

Ben Sanane, Azory, Kanguye, walikuwa na nini cha pekee hadi awapoteze / awaue? Hao walikuwa ni tishio kubwa kwa utawala waķe?
 
Mkuu unapoteza nguvu bure! Umeona anaitwa nani?

Unabishana na marehemu hapo hawezi kukuelewa
 
Yani Lema anapokelewa kifalme Arusha Sabaya yuko Gerezani?

Maisha yanaenda kasi sana tutende wema jamani maisha yetu ni Mafupi.

Hongera sana Rais Samia kwa kutufundisha kwa Vitendo ubinadamu na upendo.

Maisha yako yatakuwa ya amani sana baada ya kumaliza kipindi chako.
Sabaya gerezani na boss wake jehanum
 
Nani alijua Lugemalila atatoka jela?
Nani alijua ATCL inaendeshwa kwa hasara?
Nani alijua simba atafungwa 3-0 kwa mkapa?
Nani alijua Samia atakuwa Rais?
Nani alijua Kakobe atakuja funikwa na Mwamposa?
Nani alijua atcl ingekufa tena kifo cha mende?
 
Hv kweli umeishi Canada miaka yote hiyo, Leo unarudi bongo baada ya kazi uliyopata huko ya mkataba kuisha na sasa huna kazi ya kufanya unaitisha mkutano. Unasumbua watu wenye akili zao waache kusaka noti wakasomeshe watoto wao, unatumia masaa 2 kulalamika kuwa ulitaka kuuawa.

Wewe una impact gan had wakuue? Umeona huna agenda ya kuwaaambia wananchi zaidi ya kulalamika kuwa ulitaka kuuawa ili wananchi wakuonee huruma, siasa za kijinga kabisa.

Haya sasa umerudi fanya siasa kaka lema.
Wewe endelea kuokwa kama ndafu huko jehanam muuaji mkubwa
 
Nyie bodaboda mliokuwa mnajishaua kwenye msafara wa Lema, mmemsikia mtu mliekuwa mnamshobokea?

Bodaboda ni kazi ya laana.Mwenzenu kasharidhika na maisha ya Canada.

Endeleeni na ujinga wenu
Wee nyau unaacha kuwalaani viongozi wako wezi unatafutiza vitu vya kizushi visivyo na tija.
 
Nyie bodaboda mliokuwa mnajishaua kwenye msafara wa Lema, mmemsikia mtu mliekuwa mnamshobokea?

Bodaboda ni kazi ya laana.Mwenzenu kasharidhika na maisha ya Canada.

Endeleeni na ujinga wenu

Naona umepigwa ban sasa umekuja na id ya dhalimu kuendeleza ule utoto.
 
Back
Top Bottom