Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
PumbavuUsicheze na defamation. Nataka kuwasaidia bodaboda msaada wa bure wa kisheria defamation. Hii lawsuit ni ya kufidiwa na Mwamba wa kaskazini God bless Lema baada ya UVCCM kukazania eti Lema kuwatukana kazi yao ni ya laana.
Nitashirikiana bega kwa bega na Mataga pamoja na LB7 kuhakikisha bodaboda wanapata haki yao ya msingi.
Mheshiniwa Lema amesababisha taharuki na kuwahathiri bodaboda kisaikolojia na kupelekea utendaji wao wa kazi kushuka.
Wakishinda kesi ya fidia dhid ya Lema mimi wanipe tu asilimia 10%
Kamanda Asiyechoka
Ina wauma? tulieniHaiwezekani Mwenyekiti mwingine atoke tena Machame!
Hapo ni sawa na kushika sehemu za siri za nyati mzeehaiwezekani form ya mgombea uenyekiti iwe moja tu huku mnajinasibu mmebadilisha wenyeviti. lazima kuwe na ushndani na forms zitolewa kwa wote wanaotaka kugombea uenyekiti.
Weka picha ya hao waliofika mkuu vinginevyo kachukue buku 7Nipo Karatu leo, viongozi karibu wote vinara wa Chadema wako hapa, lakini pia hili Jimbo la upinzani kindaki Ndaki, ila nimeamini JPM alikua jembe aliondoka na wapenzi wengi wa Siasa, ngoja hawa wajikongoje, nilijua ntaona watu wengi sana kuja kuwasikiliza, lakini mmmmh!
Wewe mzee acha bangeHaiwezekani Mwenyekiti mwingine atoke tena Machame!
Vitu kama hivi unawaandikia Oganaizesheni pale Lumumba.Siku chache kabla ya Lema kurejea nchini kupitia mitandao ya kijamii aliandika kumtaka katibu mkuu wa CCM awe mgeni rasmi atakapotua nchini. Kwa wanaotumia mlango wa sita wa fahamu kutafakari naamini watakuwa wanaona ninachokiona mimi.
Huu ni mkakati wa wazi kabisa. Natambua wanafanya hivi ili walalamike na wadai kwamba CCM haina mashirikiano na upinzani na mwisho wadai 'reconciliation' haina faida kwa kuwa CCM haishirikiani nao. Kwa macho ya kawaida unaweza kuhisi ni kweli mualiko wa Lema kwa katibu mkuu wa CCM una nia njema. Najua kwenye mtazamo huu nitabezwa
Lema ni kiongozi wa Chama tu hivyo mapokezi yake aliyetakiwa kualikwa kama mgeni rasmi ni kiongozi wa Chama rafiki kwa sababu huyo Wana agenda na mtazamo unaofanana. Kitendo Cha kumualika katibu mkuu wa CCM kiongozi wa Chama mnachokinanga kila leo kinatoa picha ya kushangaza. Kwamba katibu mkuu awe mgeni rasmi wa shughuli wa kuitukana CCM? Ingetosha tu aalikwe Kama mgeni mualikwa.
Katika kukazia mkakati wao wa Siri ,CHADEMA wanaendeleza jambo hili. Leo nimemsikia Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe.Mbowe akimualika Rais Samia kama mgeni rasmi katika kongamano la BAWACHA katika siku ya wanawake duniani.
Sikatai Rais anaweza kuombwa kuwa mgeni rasmi lakini Kuna mazingira na Mazingira. Siku ya wanawake duniani ni siku rasmi hivyo serikali itakuwa imeandaa shughuli hiyo na kwa kuwa Rais ni mwanamke basi mpango wa yeye kuwa mgeni rasmi ukaangaliwa.
Pia, kwa kuwa ni siku ya wanawake basi yawezekana UWT ukawa umempa mwaliko wa yeye kuwa mgeni rasmi kwa heshima Kama Mwenyekiti wa CCM.
Kitendo Cha Mbowe kujua lolote Kati ya hao linaweza kutokea na bado akaona ni vema amualike Rais kwenye kongamano wa BAWACHA ni Jambo linalofikirisha sana.
Kama kwenye suala la Lema ,huu pia ni mkakati. Kwa nini Mbowe atoe mwaliko wa BAWACHA wakati Mwenyekiti wa BAWACHA yupo? Kwamba shughuli ya siku ya wanawake duniani kwa CHADEMA inaandaliwa na wanaume?
Hapa Kuna mkakati mzito, Lema na Mbowe ni wajumbe wa kamati kuu ya CHADEMA hivyo kutoa mialiko kwa viongozi wakuu wa CCM sio Jambo la bahati mbaya.
Hapa ndio jicho la tatu linabidi litumiwe kwenye kuona na mlango wa sita utumiwe kwenye kufikiri. Ni either wanafanya hivyo Kama mkakati wa kulalamika baadaye kwamba maridhiano yana faida gani ikiwa CCM haitaki ushirikiano au ni mkakati wa kuandaa maandamano ya kuhamasisha katiba mpya Kama wanavyoita
Tutumie mlango wa sita wa fahamu kutafakari hili kwa makini sana,Naamini mtaona huu ni mkakati maalumu.
Na Limi Mwabila
0785 655 580
Nilichogundua watu wengi huwa wanapenda kuona kundi fulani liwe linaonewa,yaani kubaguliwa,hata kama wao hawafaidiki na chochote kile, yaani wasikie tu, msafara wa fulani umepigwa mabomu,Viongozi fulani walikuwa wanafanya mkutano wa ndani wamevamiwa na jeshi la polisi, nasema sasa hivi wale wote wenye roho mbaya mumfwate ndugu yenu kule alikotanguliaSiku chache kabla ya Lema kurejea nchini kupitia mitandao ya kijamii aliandika kumtaka katibu mkuu wa CCM awe mgeni rasmi atakapotua nchini. Kwa wanaotumia mlango wa sita wa fahamu kutafakari naamini watakuwa wanaona ninachokiona mimi.
Huu ni mkakati wa wazi kabisa. Natambua wanafanya hivi ili walalamike na wadai kwamba CCM haina mashirikiano na upinzani na mwisho wadai 'reconciliation' haina faida kwa kuwa CCM haishirikiani nao. Kwa macho ya kawaida unaweza kuhisi ni kweli mualiko wa Lema kwa katibu mkuu wa CCM una nia njema. Najua kwenye mtazamo huu nitabezwa
Lema ni kiongozi wa Chama tu hivyo mapokezi yake aliyetakiwa kualikwa kama mgeni rasmi ni kiongozi wa Chama rafiki kwa sababu huyo Wana agenda na mtazamo unaofanana. Kitendo Cha kumualika katibu mkuu wa CCM kiongozi wa Chama mnachokinanga kila leo kinatoa picha ya kushangaza. Kwamba katibu mkuu awe mgeni rasmi wa shughuli wa kuitukana CCM? Ingetosha tu aalikwe Kama mgeni mualikwa.
Katika kukazia mkakati wao wa Siri ,CHADEMA wanaendeleza jambo hili. Leo nimemsikia Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe.Mbowe akimualika Rais Samia kama mgeni rasmi katika kongamano la BAWACHA katika siku ya wanawake duniani.
Sikatai Rais anaweza kuombwa kuwa mgeni rasmi lakini Kuna mazingira na Mazingira. Siku ya wanawake duniani ni siku rasmi hivyo serikali itakuwa imeandaa shughuli hiyo na kwa kuwa Rais ni mwanamke basi mpango wa yeye kuwa mgeni rasmi ukaangaliwa.
Pia, kwa kuwa ni siku ya wanawake basi yawezekana UWT ukawa umempa mwaliko wa yeye kuwa mgeni rasmi kwa heshima Kama Mwenyekiti wa CCM.
Kitendo Cha Mbowe kujua lolote Kati ya hao linaweza kutokea na bado akaona ni vema amualike Rais kwenye kongamano wa BAWACHA ni Jambo linalofikirisha sana.
Kama kwenye suala la Lema ,huu pia ni mkakati. Kwa nini Mbowe atoe mwaliko wa BAWACHA wakati Mwenyekiti wa BAWACHA yupo? Kwamba shughuli ya siku ya wanawake duniani kwa CHADEMA inaandaliwa na wanaume?
Hapa Kuna mkakati mzito, Lema na Mbowe ni wajumbe wa kamati kuu ya CHADEMA hivyo kutoa mialiko kwa viongozi wakuu wa CCM sio Jambo la bahati mbaya.
Hapa ndio jicho la tatu linabidi litumiwe kwenye kuona na mlango wa sita utumiwe kwenye kufikiri. Ni either wanafanya hivyo Kama mkakati wa kulalamika baadaye kwamba maridhiano yana faida gani ikiwa CCM haitaki ushirikiano au ni mkakati wa kuandaa maandamano ya kuhamasisha katiba mpya Kama wanavyoita
Tutumie mlango wa sita wa fahamu kutafakari hili kwa makini sana,Naamini mtaona huu ni mkakati maalumu.
Na Limi Mwabila
0785 655 580
Samia ni Rais muungwana, Mpole, mcha Mungu, mnyeyekevu kwa hiyo siyo ajabu kwake kuitikia mwito kama huu wa kualikwa na chama cha upinzani. Isitoshe yeye ndiye Rais wa Watanzania wote.Siku chache kabla ya Lema kurejea nchini kupitia mitandao ya kijamii aliandika kumtaka katibu mkuu wa CCM awe mgeni rasmi atakapotua nchini. Kwa wanaotumia mlango wa sita wa fahamu kutafakari naamini watakuwa wanaona ninachokiona mimi.
Huu ni mkakati wa wazi kabisa. Natambua wanafanya hivi ili walalamike na wadai kwamba CCM haina mashirikiano na upinzani na mwisho wadai 'reconciliation' haina faida kwa kuwa CCM haishirikiani nao. Kwa macho ya kawaida unaweza kuhisi ni kweli mualiko wa Lema kwa katibu mkuu wa CCM una nia njema. Najua kwenye mtazamo huu nitabezwa
Lema ni kiongozi wa Chama tu hivyo mapokezi yake aliyetakiwa kualikwa kama mgeni rasmi ni kiongozi wa Chama rafiki kwa sababu huyo Wana agenda na mtazamo unaofanana. Kitendo Cha kumualika katibu mkuu wa CCM kiongozi wa Chama mnachokinanga kila leo kinatoa picha ya kushangaza. Kwamba katibu mkuu awe mgeni rasmi wa shughuli wa kuitukana CCM? Ingetosha tu aalikwe Kama mgeni mualikwa.
Katika kukazia mkakati wao wa Siri ,CHADEMA wanaendeleza jambo hili. Leo nimemsikia Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe.Mbowe akimualika Rais Samia kama mgeni rasmi katika kongamano la BAWACHA katika siku ya wanawake duniani.
Sikatai Rais anaweza kuombwa kuwa mgeni rasmi lakini Kuna mazingira na Mazingira. Siku ya wanawake duniani ni siku rasmi hivyo serikali itakuwa imeandaa shughuli hiyo na kwa kuwa Rais ni mwanamke basi mpango wa yeye kuwa mgeni rasmi ukaangaliwa.
Pia, kwa kuwa ni siku ya wanawake basi yawezekana UWT ukawa umempa mwaliko wa yeye kuwa mgeni rasmi kwa heshima Kama Mwenyekiti wa CCM.
Kitendo Cha Mbowe kujua lolote Kati ya hao linaweza kutokea na bado akaona ni vema amualike Rais kwenye kongamano wa BAWACHA ni Jambo linalofikirisha sana.
Kama kwenye suala la Lema ,huu pia ni mkakati. Kwa nini Mbowe atoe mwaliko wa BAWACHA wakati Mwenyekiti wa BAWACHA yupo? Kwamba shughuli ya siku ya wanawake duniani kwa CHADEMA inaandaliwa na wanaume?
Hapa Kuna mkakati mzito, Lema na Mbowe ni wajumbe wa kamati kuu ya CHADEMA hivyo kutoa mialiko kwa viongozi wakuu wa CCM sio Jambo la bahati mbaya.
Hapa ndio jicho la tatu linabidi litumiwe kwenye kuona na mlango wa sita utumiwe kwenye kufikiri. Ni either wanafanya hivyo Kama mkakati wa kulalamika baadaye kwamba maridhiano yana faida gani ikiwa CCM haitaki ushirikiano au ni mkakati wa kuandaa maandamano ya kuhamasisha katiba mpya Kama wanavyoita
Tutumie mlango wa sita wa fahamu kutafakari hili kwa makini sana,Naamini mtaona huu ni mkakati maalumu.
Na Limi Mwabila
0785 655 580
Team sukuma gang mnatesekaSiku chache kabla ya Lema kurejea nchini kupitia mitandao ya kijamii aliandika kumtaka katibu mkuu wa CCM awe mgeni rasmi atakapotua nchini. Kwa wanaotumia mlango wa sita wa fahamu kutafakari naamini watakuwa wanaona ninachokiona mimi.