Arusha: Yaliyojiri mapokezi ya Godbless Lema, Adai VICOBA ni umasikini, Mama lishe ni utumwa, Samia asitukanwe, Mbowe ampa kazi ya Katiba Mpya

Alikuwa mwizi wa magari na biashara zingine za michongo
 
Kuna namna ukikaa na kutafakari anayoyaongea mwamba Yana maana..Mama tozo na chama chake wajichekeche
 
Afadhari nyie mliokaa nnje kwa muda mrefu msaidieni apunguze ujuaji wa kuishi Canada kwa muda mfupi.Anakoelekea anageuka kuwa kichekesho
Ni ulimbukeni tu na wa hivyo tumewaona sana
Sijawahi kumdharau mtu hata siku moja
Siwezi kujiweka niko juu zaidi nikija home utafikiri nilikuwa hapo maisha ntajichanganya na watu na kama ni msaada wowote tunasaidiana

Lakini sio kubeza watu wakati yeye mwenyewe anasubiri gero ianguke ya ukimbizi

Yeye na familia wanasubiri huruma ya mzungu ndio ale halafu anatukana wanaojilisha kwa jasho lao si upumbavu huo

Ajishangae yeye eti kaja kuweka mapazia na kutandika ili mke aje
Hiyo kazi ya wanawake kuja kwanza na baba anafuata sio la kujivunia
Atarudi ukimbizini kama mwenzake aache kuzuga ooh anapaka rangi nyumba nonsense [emoji58]
 
😁😁,Bosi wangu viwandani tunalipa watu sh 5000 per day,, nambie bodaboda gani ataacha kazi ya kuingiza sh 20,000 kwa siku afuate kazi ya buku 5,,
 
Hili SAKATA lina scenarios kubwa TATU.

1. Lema ni mpumbavu.

2. CCM ni SHETANI

3. Boda boda, Mama Lishe, wanaobeti nk ni WAPUMBAVU sana.

MTAZAMO.

- Lema ni mpumbavu kutokana na hulka fulani ya kujiona yeye ni GENIUS na MJANJA kinoma, 😂 kwa kufanya biashara kubwa nyiingi na za mapesa mengi.

Yaani Lema ni limbukeni uchwara, faker na mangi mwenye hulka fulani ya kujiona, mangi ni mangi mtu wa pesa. Anajiona mjanja wa Crypto currency, forex trading Mara madini lakini kiuhalisia SIASA ndio Ajira yake.

- CCM ni MAPUMBAVU Kwasababu yenyewe kazi yao ni KUTAFUNA tu KEKI YA TAIFA na hayapendi kabisa Usumbufu Wala KUJIUMIZA AKILI kutafuta SULUHU ya MATATIZO.

Yanachotaka ni KULA bila kelele na kurithisha MITOTO YAO ULAJI BILA KELELE.

Kwasababu hiyo, hayajishughulishi kutafuta solutions. Mwaka Jana kulikuwa na MKALI SANA WA UMEME, HAKUNA chochote yalifanya, ni KUSUBIRIA MVUA INYESHE TU.

Hata Sasa Kama mwakani kutakuwa na ukame, HALI ni hiyo hiyo.

Sasa suala la Ajira haliwezekani, Cha kufanya MACCM yamejiongeza kujifanya Kazi ni kazi I'll kelele za Ajira zisiwepo.

Boda boda, Mama Lishe na wao wamehalalishiwa kazi yao, hivyo hawana Cha kudai maana Wana kazi tayari.

Ingawa kiuhalisia hizo kazi watu huwa wanafanya AS A STEPPING STONE ili kunusuru NJAA na siyo their dream Jobs
 
Nyie CHADEMA mkiacha matusi, uzushi, majigambo na unafiki hakuna mnachojua
 
watu ambao watoto wao huwa bado ni vitoto havijui utamu wala uchungu wa maisha , kwa kawaida huwa waropokaji sana wanapowaangalia vijana wa watu wengine wanavyoteseka
Lema anajaribu kuileza serikali itengeneze mazingira ili vijana wapate Kazi za ambazo Zina manufaa makubwa kwao sio izi za line za simu ni utumwa
 
Mlisema amekimbia madeni kwamba bank zinamdai, mbona hakuna nyumba yake iliyopigwa mnada na amerudi hatuoni akifilisiwa na hayo mabenk?
 
Lema anajaribu kuileza serikali itengeneze mazingira ili vijana wapate Kazi za ambazo Zina manufaa makubwa kwao sio izi za line za simu ni utumwa
Hizi za line atafanya nani?
 
Mkuu heshima kwako, unataka kusema Lema alishindwa kuwasilisha hii joja vizuri?

Sawa ni laana lakini waende wapi?
 
CCM wamegeuza bodaboda mtaji wao huku watoto wa Kitila Mkumbo na Madelu wakifanya kazi BOT.
Upo sawa mkuu, sema waliopo uraiani waende wapi kwa sasa? Bashe ndio huyo anambwela mbwela kwenye Kilimo
 
Ukeli lazima usemwe, hata kama ni mchungu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…