Arusha: Yaliyojiri mapokezi ya Godbless Lema, Adai VICOBA ni umasikini, Mama lishe ni utumwa, Samia asitukanwe, Mbowe ampa kazi ya Katiba Mpya

Wewe unaendesha Boda boda? Au kuna viongozi ndugu zao wanaendesha Bodaboda?;
 
Atarudi ukimbizini kama mwenzake aache kuzuga ooh anapaka rangi nyumba nonsense [emoji58]

Huu ndiyo ukweli japo ni mchungu kwa wanaomuunga mkono. Hana muda atageuza arudi kula vya bure kwa wazungu. Kwa sasa hawezi tena kusimama mwenyewe kama zamani, ndiyo maana anatupigia mayowe ya uzuri wa maisha ya Canada.
 
Lema kakosa hekima ya uwasilishaji wa hoja zake. ( boda boda, usajiri line ), ni indicator ya kimaisha duni katika nchi , linalotakiwa ni kutengeza mazingira bora hata kwa hizo kazi .. kwenye maisha tunahitajiana ila tuboresheane mazingira na sio kunangana
 
Well said, umeongea kwa umakini kabisa mkuu.
 
Ameliwasilisha kimuhemko pasi na tafakari katika minajili ya kwamba anasimanga watu na kuwakebehi.
 
Huu ndiyo ukweli japo ni mchungu kwa wanaomuunga mkono.Hana muda atageuza arudi kula vya bure kwa wazungu.Kwa sasa hawezi tena kusimama mwenyewe kama zamani,ndiyo maana anatupigia mayowe ya uzuri wa maisha ya Canada.
Mkuu hata Lissu angekaa sana Tz posho ingekatwa huko, ndio maana karudi haraka
Huyu nae atakaa mwezi tu halafu huyo anawahi kusaini cheque za kujikimu na wanae
Badala atupiganie diaspora [emoji1] [emoji1787]

Maskini watoto wake wakimbizi halafu anatukana mama lishe
Mke wake ana kazi gani vile [emoji1063]?
Apike vitumbua kwani naye ni mkimbizi tu
 
Sawa
 
Lema ni nabii alisema bwana yule aache Mambo ya ovyo au ataenda zake ikawa. Sasa swala la bodaboda mmemulewa vibaya ..dongo kaipiga serikali kuona bodaboda ni ajira..watu wanalala maofisini Hawana vision kwa Taifa hili ..tuna maliasili kibao kwenye nchi lakini tumezikalia tu...A blessing in disguise
 
Weusi tuna laana sasa tunalalamika ulaana wa bodaboda???

Nendeni MOI Mkaone kazi hiyo ya laana inavomaliza watu sio mnaandika tu.
 
Ana paswa azingatie kauli za kuzungumza yeye kama mwanasiasa asiwe ropo ropo.
nadhani bado hamumuellewi Lema anachomainisha.yuko sahihi kabisa na wala halopoki.hata mm sikubali mtoto wangu kuwa bodaboda au msajili laini hiyo siyo ajira.unawahatarishia watoto wako maisha.
 
nadhani bado hamumuellewi Lema anachomainisha.yuko sahihi kabisa na wala halopoki.hata mm sikubali mtoto wangu kuwa bodaboda au msajili laini hiyo siyo ajira.unawahatarishia watoto wako maisha.
Unataka mtoto wako afanye kazi gani hapa Tanzania ?
 
Kuna mzambuli mmoja alkua Afisa usajili laini(wakuzirula mitaa kwa mitaa) bas kaifanya KAZI yake Kwa weledi siku ya siku mwisho WA mwezi Anapata kamission ya alf25.

Alilaani vibaya sana

Hii KAZI ni nzur endapo unajitafuta tu .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…