Vitalis Msungwite
JF-Expert Member
- May 11, 2014
- 3,292
- 7,867
Siku ya kiwasili kwake angewafukuza wote na kwenye kampeni zao wasiwatumieAnaongea vitu vya kweli kabsa ila anakikandamiza Chama chake bila shaka kipo anachokipambania
Yeye anaweza akafanya nini? Kumbadilisha boda boda waache kazi yao na awape kazi anayohisi nzuri zaidi ya hiyo
Au atawapa boda boda ajira gani? Ambayo itawafaa anaelekea kupoteza point Kwa chama chake point ya boda boda chadema wanaikosa kupitia G,LEMA
Kuna kikundi cha wachovu kule walikuwa wanasema tatizo la ajira ni la dunia nzima. Hiv wapi waliskia nafasi ya uhasibu 20 sahili imeganyikia Uwanja wa mpira wa kimataifa kama sio Tanzania?.Unaposema boda boda ni kazi ya laana, kusajili laini ni kazi ya kipuuzi hutaki mwanao umuone anaifanya utamfukuza kwako, vikoba ni laana sijui hutaki mkeo ajihusishe navyo kabisa.
From a standing point wewe ni mkimbizi wa kisiasa umebebwa huko Canada for over a year. Umepata PR na familia yako na privileges nyingi huko. Umeyaona maisha kwa utofauti hilo hatukatai. Najua kwa sasa wewe watoto wako wanaweza wakaishi huko Canada for whatever reasons, huko ada hazilipwi ni serikali kila kitu. Mzazi kazi yako ni kulipa kodi ya nyumba na utilities tu.
Viwanda na Private companies ziko kibao kiasi kwamba ishu ya kupata cha kufanya wakimaliza vyuo ni wao kuamua tu kukaa kwenye corporate sphere, kwenda kuuza migahawa, kukwangua mabarafu na kutawaza wazee.Maybe sio kazi za hovyo atleast kwa uchumi wa Canada maana hata wazungu wenyewe wa huko hawazitaki.
That being said, wewe unapata wapi guts za kusema kuwa Watanzania wanafanya kazi za laana esp. Boda boda, wasajili line na wauza mboga wanaocheza vikoba? Okay, hizo kazi ni za laana atleast kwa fikra zako lakini ushajiuliza kuna ugumu kiasi gani kwa hapa Tanzania when it comes to making ends meet?
Sidhani kama una idea kwamba graduate aliyemaliza chuo anaetoka familia hohehae anapitia ugumu kiasi gani na fedhea ilioje pale anapokosa ajira na hana mtaji! Usicheze na maisha ya watu kabisa, huna ajira una mke na mtoto huna chanzo cha pesa unafikiria kitakachofuata nini?
Utakaa chini unaangalia familia iangamie? Boda boda ndio quick fix ya maisha yetu ya dhiki walau familia zile na maisha yaende, vikoba ndio quick fix ya mikopo ya benki bila masharti magumu.
Toa solution watu wafanye nini baada ya kuachana na hizo kazi za laana. Sio unaropoka hovyo tu bila kuwa na substance. Tanzania sio Canada watu wanakolipwa dollar 15-20 kwa kazi ya saa 1. Huku unapigishwa mzigo masaa 12 unalipwa elfu 4 na hamna kitu utaongea.
Anataka kura za wananchi, sio za bodaboda, unapoenda kupiga kura unakwenda kama mwananchi, hauendi pale kwa mgongo wa bodaboda. Upo bwana mdogo ?Halafu hizo kura za bodaboda anazitaka?
Kuzunguka mitaani kusajili line inaona dili. Kwa hiyo ni ajira ya kutegemewa?Kwahiyo tuajili wazungu waje wafanye kazi za kusajili line, bodaboda, mama ntilie, etc? [emoji16][emoji16]
Mbona maandalizi na mapokezi hayaishi 🤣🤣🤣Huyo yuko busy na maandalizi ya kumpokea lissu tarehe 19.
Tanzania noma na nusu, kumkandamiza mwananchi wa chini ndio agenda kuuMtungi wa gesi kg 13 huko Kenya huuzwa kwa Ksh 403 sawa na shilingi za kitanzania 7366
Mtungi wa gesi Kg 14.5 Tanzania huuzwa shilingi za kitanzania Tsh 55,000 sawa na Ksh3012
Tofauti:
Kenya mtungi wa kg 13 ni shilingi za kitanzania Tsh 7316
Tanzania mtungi wa kg 14.5 shilingi za kitanzania Tsh 55,000
Swali : Kenya wanachota gesi baharini?
Erythrocyte
Ccm walichokifanya kwa wananchi wa taifa hili madhara yake ni mara 400 ya madhara ya ukoloni.Kuzunguka mitaani kusajili line inaona dili. Kwa hiyo ni ajira ya kutegemewa?
Ukweli gani ?
CCM siku zote wanafanya kitu, na vijana kuwa hao boda sijui wasajili laini ni sehemu ya kujipambania hatima yao, hakuna nchi dunia hii ianyoajili asilimia kia ya raia wake, kujipambania imoAmeiambia ccm ifanye kitu msianze kumshambulia.
Tatizo la maskini akiambiwa ukweli anachukia badala ya kutafakari
Kwa hiyo anataka mwanae awe mwizi wa magari kama yeye?Namsikiliza Mbunge wa zamani Nndg Lema Jembe FM, anahojiwa alipokeaje suala la yeye kufutiwa kesi zake.
Lema anadai moja ya vitu anavyompongeza Mama ni pamoja na yeye kufutiwa mashtaka pia mikutano ya kisiasa.
Amesema kitu pekee CCM walichoshindwa kufanya ni kutengeneza ajira za maana zaidi kwa Watanzania kujiajiri kwenye kazi duni kama bodaboda na kusajili laini.
"Nikisikia mwanangu ni bodaboda au anasajili laini inabidi atafute sehemu ya kukaa, kwangu simtaki tena," alisema Lema.
Mwamba kaamua sasa.
Kwa uelewa wako unadhani fursa za kiuchumi kwa vijana wa Tanzania ziko wazi na uwezekano wa kuzikamata ni sawa kwa wengi? Tusiseme kwa wote kwanza.Ameiambia ccm ifanye kitu msianze kumshambulia.
Tatizo la maskini akiambiwa ukweli anachukia badala ya kutafakari
Comment yako hii nimeielewa sana Mkuu. [emoji1666][emoji1666]Tatizo la jamii yetu tunaonaga tatizo tu pasipo kujua chanzo cha tatizo, maana Leo hii role model wa vijana wengi ni wale waliopata mafanikio kwa zari Yani njia zilizofanya wakafanikiwa hamuwezi fanikiwa Kundi kubwa mfano mziki, uigizaji, mpira, at the end vijana wanashindwa komaa na njia sahihi mfano shule, au kujifunza ujuzi njia ambayo imefanikisha Kundi kubwa la watu matokeo yake vijana wanataka Short cut, udereva boda boda, akabet, sijui awe muigizaji au msanii vitu ambavuo vinawapotezea mda tu
Boda boda haiwezi kufanya ukawa na kipato imala Cha kubadilisha maisha zaidi ya kupata pesa ya kula tu, kununua sabufa za mchina, frat screen za mchina, sofa za magumashi, ukala wali maharage usiku ukajiona umeyaweza maisha ila ukiumwa week mbili tu upo ndani unaanza kuuza vitu vyako
My take
Shughuli ambayo utaugua ukalala ndani wiki moja familia ikaanza. Kupata shida ya pesa za matumizi siyo ajira hiyo acha