Anekuja na yafuatatoyo;laana,kufa,washamba na yeye ni mchaggaExactly, he lacks substance!
Yeah, zinaweza kusajili hata roboti,, sasa tuseme line zisajili roboti, mama ntilie zipike roboti, kulima kwa jembe la mkono, tutumie roboti, housegel tutumie roboti,,, barmaid tutumie roboti, kazi za kudhalilisha kama kupalilia, kusafisha vyoo, kufua, etc, zote tutumie roboti,,Kwani ni lazima line asajili mtu?
Ndio, inazidi ya kuzunguka mtaani kukusanya machupa ya majiKuzunguka mitaani kusajili line inaona dili. Kwa hiyo ni ajira ya kutegemewa?
Tulipofikia kila mtu anasema liwalo na liweNi kweli hata mimi nimejaribu kusikiliza speech yote ya Lema nikagundua aliongea ukweli na lengo lake ilikuwa kuwatetea vijana kuandaliwa mazingira ya ajira rasmi.
Alifafanua vizuri tu jinsi Bodaboda zinavyoongoza kwa ajali na athari za ufanywaji wa hiyo kazi ya Bodaboda inavyowafanya waamke saa kumi usiku na kurudi nyumbani saa tano usiku.
Lema alikuwa sahihi sana kwa kuongea ukweli, ila Siasa ni mchezo mchafu.
Wahitimu wa vyuo wanakosa ajira na kuishia kuwa Bodaboda, kazi ambayo ukizeeka hupati Mafao ya Pensheni, lakini watu wanajionea sawa tu.
In Chinua Achebe Things Fall Apart (1958?) Okonkwo is told things have changed! It's no longer Umofia you left six years ago.Namsikiliza Mbunge wa zamani Nndg Lema Jembe FM, anahojiwa alipokeaje suala la yeye kufutiwa kesi zake.
Lema anadai moja ya vitu anavyompongeza Mama ni pamoja na yeye kufutiwa mashtaka pia mikutano ya kisiasa.
Amesema kitu pekee CCM walichoshindwa kufanya ni kutengeneza ajira za maana zaidi kwa Watanzania kujiajiri kwenye kazi duni kama bodaboda na kusajili laini.
"Nikisikia mwanangu ni bodaboda au anasajili laini inabidi atafute sehemu ya kukaa, kwangu simtaki tena," alisema Lema.
Mwamba kaamua sasa.
Majeruhi 6 kwa jiji la watu milioni 2 kama dar, ni kiwango kidogo sana, very insignificant, ukichukulia bodaboda wanaendesha vijana barubaru , miji mikubwa duniani ajali kwa siku ni jambo lisiloepukikaShida ni kwamba na wanaoleta taarifa za Lema humu wanadokoa statement tata wanaleta hivyohivyo bila maelezo ya ziada au source of information,watu wanaanza kujadili kila mtu na fikra zake.
Mfano kuna Uziuliwekwa humu,Lema kasema kujenga ukuta Mererani ni ushamba(hio ilikuwa heading)ila source haikuwekwa,nilipofualitilia ni kweli alisema hivyo ila kuna maelezo mengi alitoa kuhusu hilo na alitoa ushauri mzuri tu,na akasema kwa kuwa viongozi wote wapo Arusha(semina) atawashauri mawazo yake.
Nadhani tunahitaji media serious imualike kwa mahojiano atoe ufafanuzi juu ya kauli zake hizi,tujue hasa anamaanisha nini.
Leo East Africa radio walikuwa na uongozi wa Bodaboda Dar,wale viongozi nao walilaumu hio kauli wakisema kwamba watu wanasomesha wanajenga na kwa siku boda hakosi 30,000(Siku mbaya) kwamba kwa mwezi hakosi 800,000 na kwamba wanawazidi hata kada fulani ya waajiriwa serikalini.
Baadae mtangazaji akaanza kuwadadisi,kama mna kipato hicho inakuwaje mnakosa bima ya afya ya 600,000 kwa mwaka?wakaanza bla bla kwamba hio tumetaja ni kama ukiweka akiba,wakaambiwa kwa takwimu za muhimbili kila siku wanapokea majeruhi 6 wa bodaboda pale,wakadai eti hao sio bodaboda ila ni vijana wa mikoani wameletwa kubeba mayai kusambaza kitu ambacho ni uongo.
Je unaweza kufanya kazi ya Bodaboda kuanzia ujana hadi uzee?Je utapenda mtoto wako arithi kazi yako? hawakuwa na majibu ya maana.
Ukweli ni kwamba kauli ya Lema kwa juu juuu inakera ila ukiingia ndani ukweli upo,Ilikuwa wamtafute Lema bahati mbaya naona hawakufanikiwa mpaka kipindi kinaisha.
Bodaboda hawajitambui. Wajiulize ni mtoto gani wa kiongozi wa CCM Ni Bodaboda?Habari!
Wao boda wameacha maneno yote ya Lema wamechukua neno laana tu na kuanza kutembea nalo.
Na CCM wameshapata mpenyo chap wameingilia kati.
Ni kweli hata China , India n k kuna bodaboda lakini hilo lisitumike kuhalalisha hii kazi hatari inayozalisha walemavu kila siku nchini.
Hilo pia lisitumike kuhalalisha kazi ya bodaboda ambayo imesababisha watoto kukosa baba kila siku kutokana na ajali za bodaboda.
Vipi tumewahi kufikiri uzeeni hawa bodaboda wataenda wapi, wataishi vipi?.
Siasa za Tanzania ni za kuviziana. Bodaboda walipaswa kuungana na Lema kudai ustawi wao lakini wamekaa kimya, CCM wameingia na kujifanya wapo pamoja na Bodaboda mpaka mwisho wa safari ilhali watoto wao wanawapa ajira Usalama wa Taifa na ubalozini.
Hawa ndo wakipewa madaraka hata mishahara wanashindwa kulipaYuko sahihi, ni vizuri kuwa mkweli kuliko kuwa mwanasiasa mnafiki
Mbona hata New york wanaendesha pikipiki?, Au kosa ni kujipatia kipato kwa uboda boda?Wewe Maisha ya mtaani unayaelewa Vizuri msomi wa degree kuwa bodaboda Ni Upumbavu wa ccm
Yaani wewe kama unaona Yuko sawa kwenye anavyoviongea inapaswa wewe na yeye mpelekwe kwa wataalamu wa afya za akili. Anatafuta pa kushika ila tatizo yote aongeayo ndio yaleyale yanayosemwa na watu vijiweni, watu walitegemea angekuja na majibu ya hizo laana na umasikini ausemao ila cha ajabu anakuja na pointi zisizoonesha zitokako Wala hazitoi mwanga wa wapi zinaelekeaAmeiambia ccm ifanye kitu msianze kumshambulia.
Tatizo la maskini akiambiwa ukweli anachukia badala ya kutafakari
Hata marekani wapo wanaofanya kazi kwa kulipwa kamisheniUsipokuwa makini kwenye hoja za Lema unaweza kuishia kumtukana, kumkeheli n.k
Lakini mtoa hoja nawe umekosa hoja. Umesema huko Canada kuna kazi za kuosha vyombo, wazee na kusafisha barafu etc ambao hata wenyeji hawazitaki. Unajua maana yake "hao ndio bodaboda, wasajiki line wa huko". Lakini serikali yao itasema kuna watu wamepata ajira kwenye hizo kazi.
Hoja ya msingi ni kwamba wananchi wanataka kazi bora zenye usalama wa maisha yao ya sasa na baadae, zenye kipato cha uhakika, zenye kutambulika rasmi kwenye soko la ajira, na sio kazi za shuruba na malipo yasiyokizi hadhi.
Mfano: wasajili line hawana mshahara bali wana commission ambayo wengi hawafiki 150,000 hata NSSF, hana bina ya afya, hayupo kwenye WCF. Hivyo akiugua, akiumia au kupata janga lolote ajira yake haimsaidii chochote.
Je hiyo ni ahira kweli?
Je akifikisha 45yrs anaweza kuifanya tena anakuwa amestaafu bila malipo.
Je maradhi apatayo kwa kuendesha boda ambayo mengi hijitokeza ukubwani ataweza kuyamudu.
Tuwagafutie watanzania ajira bora hizi za line na boda sio ajira bali laana, mengi tutayaona muda si mrefu.
Laana,vifo,washamba na yeye ni mchagga ndani ya mwaka mmoja nchini CANADAMwache Lema atupe hiyo 'exposure' ya kuishi CANADA kwa mwaka mmoja na atufundishe jinsi maisha yanavyopaswa kuwa hata kama ni kwa kutusimanga.Kuna wengine wameishi huko miaka zaidi ya 20 lakini hawajapata 'exposure' kama ya Mh.Lema. What a genius man,mwaka mmoja tu amerudi ni mwalimu wa kila kitu [emoji3]
Maneno yanaumba amshukuru Mungu anavijisenti na hiyo alivyojongwa huko Canada hao wanaosajili na bodaboda wanaingiza vipato hali au anataka wawe panya road au wezi?Namsikiliza Mbunge wa zamani Nndg Lema Jembe FM, anahojiwa alipokeaje suala la yeye kufutiwa kesi zake.
Lema anadai moja ya vitu anavyompongeza Mama ni pamoja na yeye kufutiwa mashtaka pia mikutano ya kisiasa.
Amesema kitu pekee CCM walichoshindwa kufanya ni kutengeneza ajira za maana zaidi kwa Watanzania kujiajiri kwenye kazi duni kama bodaboda na kusajili laini.
"Nikisikia mwanangu ni bodaboda au anasajili laini inabidi atafute sehemu ya kukaa, kwangu simtaki tena," alisema Lema.
Mwamba kaamua sasa.
Nani atawaandalia upuuzi tu wacha watu watafute maishaNi kweli hata mimi nimejaribu kusikiliza speech yote ya Lema nikagundua aliongea ukweli na lengo lake ilikuwa kuwatetea vijana kuandaliwa mazingira ya ajira rasmi.
Alifafanua vizuri tu jinsi Bodaboda zinavyoongoza kwa ajali na athari za ufanywaji wa hiyo kazi ya Bodaboda inavyowafanya waamke saa kumi usiku na kurudi nyumbani saa tano usiku.
Lema alikuwa sahihi sana kwa kuongea ukweli, ila Siasa ni mchezo mchafu.
Wahitimu wa vyuo wanakosa ajira na kuishia kuwa Bodaboda, kazi ambayo ukizeeka hupati Mafao ya Pensheni, lakini watu wanajionea sawa tu.