Ile siku ommy anaondoka pekeake ndipo alipata ajar pale uhasibu juu darajani ilikua one way enzi izo....Habari!
Wao boda wameacha maneno yote ya Lema wamechukua neno laana tu na kuanza kutembea nalo.
Na CCM wameshapata mpenyo chap wameingilia kati.
Ni kweli hata China , India n k kuna bodaboda lakini hilo lisitumike kuhalalisha hii kazi hatari inayozalisha walemavu kila siku nchini.
Hilo pia lisitumike kuhalalisha kazi ya bodaboda ambayo imesababisha watoto kukosa baba kila siku kutokana na ajali za bodaboda.
Vipi tumewahi kufikiri uzeeni hawa bodaboda wataenda wapi, wataishi vipi?.
Siasa za Tanzania ni za kuviziana. Bodaboda walipaswa kuungana na Lema kudai ustawi wao lakini wamekaa kimya, CCM wameingia na kujifanya wapo pamoja na Bodaboda mpaka mwisho wa safari ilhali watoto wao wanawapa ajira Usalama wa Taifa na ubalozini.
Bodaboda wameathirika the so called Stockholm Syndrome. Msiwashangae bali muwahurumieHabari,
Wao boda wameacha maneno yote ya Lema wamechukua neno laana tu na kuanza kutembea nalo.
Na CCM wameshapata mpenyo chap wameingilia kati. Ni kweli hata China, India n.k kuna bodaboda lakini hilo lisitumike kuhalalisha hii kazi hatari inayozalisha walemavu kila siku nchini.
Hilo pia lisitumike kuhalalisha kazi ya bodaboda ambayo imesababisha watoto kukosa baba kila siku kutokana na ajali za bodaboda.
Hivi tumewahi kufikiri uzeeni hawa bodaboda wataenda wapi, wataishi vipi?
Siasa za Tanzania ni za kuviziana. Bodaboda walipaswa kuungana na Lema kudai ustawi wao lakini wamekaa kimya, CCM wameingia na kujifanya wapo pamoja na Bodaboda mpaka mwisho wa safari ilhali watoto wao wanawapa ajira Usalama wa Taifa na ubalozini.
Kwa Kweli Hadi mkuu extrovert umeandika Uzi bas Ni kwamba umekereka Kam mm kwa kauli za huyo mpuuzi wa chadema kuita Kaz. Ni laana ni mikosi anajitafutia kenge huyoUnaposema boda boda ni kazi ya laana, kusajili laini ni kazi ya kipuuzi hutaki mwanao umuone anaifanya utamfukuza kwako, vikoba ni laana sijui hutaki mkeo ajihusishe navyo kabisa.
From a standing point wewe ni mkimbizi wa kisiasa umebebwa huko Canada for over a year. Umepata PR na familia yako na privileges nyingi huko. Umeyaona maisha kwa utofauti hilo hatukatai. Najua kwa sasa wewe watoto wako wanaweza wakaishi huko Canada for whatever reasons, huko ada hazilipwi ni serikali kila kitu. Mzazi kazi yako ni kulipa kodi ya nyumba na utilities tu.
Viwanda na Private companies ziko kibao kiasi kwamba ishu ya kupata cha kufanya wakimaliza vyuo ni wao kuamua tu kukaa kwenye corporate sphere, kwenda kuuza migahawa, kukwangua mabarafu na kutawaza wazee.Maybe sio kazi za hovyo atleast kwa uchumi wa Canada maana hata wazungu wenyewe wa huko hawazitaki.
That being said, wewe unapata wapi guts za kusema kuwa Watanzania wanafanya kazi za laana esp. Boda boda, wasajili line na wauza mboga wanaocheza vikoba? Okay, hizo kazi ni za laana atleast kwa fikra zako lakini ushajiuliza kuna ugumu kiasi gani kwa hapa Tanzania when it comes to making ends meet?
Sidhani kama una idea kwamba graduate aliyemaliza chuo anaetoka familia hohehae anapitia ugumu kiasi gani na fedhea ilioje pale anapokosa ajira na hana mtaji! Usicheze na maisha ya watu kabisa, huna ajira una mke na mtoto huna chanzo cha pesa unafikiria kitakachofuata nini?
Utakaa chini unaangalia familia iangamie? Boda boda ndio quick fix ya maisha yetu ya dhiki walau familia zile na maisha yaende, vikoba ndio quick fix ya mikopo ya benki bila masharti magumu.
Toa solution watu wafanye nini baada ya kuachana na hizo kazi za laana. Sio unaropoka hovyo tu bila kuwa na substance. Tanzania sio Canada watu wanakolipwa dollar 15-20 kwa kazi ya saa 1. Huku unapigishwa mzigo masaa 12 unalipwa elfu 4 na hamna kitu utaongea.
mkuu nnkama mmi tu kaniudhi mnoHuyu mbulula ananitia gesi sana kila nikiona uzi wake. Anaongea pumba tu
Mkuu sijaona Uzi wako Wala usije kuniona namm kuwa nilileta ujuaji mleNimeacha kuitumia naona Kuna watu wanajifanya wajuaji mle[emoji35][emoji706]
Wanasiasa hutumia ujinga wa wananchi kupitia kuraHabari,
Wao boda wameacha maneno yote ya Lema wamechukua neno laana tu na kuanza kutembea nalo.
Na CCM wameshapata mpenyo chap wameingilia kati. Ni kweli hata China, India n.k kuna bodaboda lakini hilo lisitumike kuhalalisha hii kazi hatari inayozalisha walemavu kila siku nchini.
Hilo pia lisitumike kuhalalisha kazi ya bodaboda ambayo imesababisha watoto kukosa baba kila siku kutokana na ajali za bodaboda.
Hivi tumewahi kufikiri uzeeni hawa bodaboda wataenda wapi, wataishi vipi?
Siasa za Tanzania ni za kuviziana. Bodaboda walipaswa kuungana na Lema kudai ustawi wao lakini wamekaa kimya, CCM wameingia na kujifanya wapo pamoja na Bodaboda mpaka mwisho wa safari ilhali watoto wao wanawapa ajira Usalama wa Taifa na ubalozini.
Asingekuwa ni mchagga lazima Mbowe angekuwa ameshatoa kauliKwa Kweli Hadi mkuu extrovert umeandika Uzi bas Ni kwamba umekereka Kam mm kwa kauli za huyo mpuuzi wa chadema kuita Kaz. Ni laana ni mikosi anajitafutia kenge huyo
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Hunaga BAYA bossMkuu sijaona Uzi wako Wala usije kuniona namm kuwa nilileta ujuaji mle
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Yaani hapa umanena ,chadema wameharibu vijana hadi wasomi walioamua kabisa kuwa wajinga kama ambavyo Diamond kaweza kupata wafuasi kwa nyimbo za matusi tuSio Lema tu Chadema imeejaa wapuuzi wengi sana ambao wamekuwa entertained kwa miaka mingi sana.
Wameharibu akili za vijana wengi mno.
deep rooted illiterate kama Lema hawezi kuwa na substance ndio maana kila wakati anajitabainisha kuwa yeye ni mchggaExactly, he lacks substance!
Sio kama hizi za hapa kwetu unatembea kwenye jua na mvua, baridi kisha hakuna aliyesajili line siku hiyokwa yo huna unacholipwa.Hata marekani wapo wanaofanya kazi kwa kulipwa kamisheni
Ukisikia mjinga aisee huyu jamaa amepitilizaJamaa ni kama yule kipofu alieona punda
Kufika Canada ameona kama miujiza ameshangaa na ni ushamba tu kuona maisha ya huko ni tofauti
Angekaa miaka 10 angetukana wanaokula Ugali Walahi
Nawajua baadhi ya watu wanapokuja nje na wwkirudi nyumbani hujiona wamebadili maisha na kuwaona wengine kama mbuzi tu
Nimekaa nje karibia miaka 50 ila hata siku moja sijawashangaa maisha ya jamaa zetu huko ila nawaombea always maisha yawabadilikie
Anawatukana watu wakati yeye na familia wanakula hela za wakimbizi
Amejilipua ukimbizi na kujidhalilisha kwa wazungu
Watoto wanasoma kwa jasho la walipa kodi Canada
Badala aseme njia mbadala yeye anayashangaa maisha aliokulia mpaka kafika hapo
Anafananisha Canada na Tanzania anataka wawe sawa
Jamaa kumbe ni mshamba kiasi hicho
Ulimbukeni mbaya sana
Kufika Canada kaanza kutukana washikaji
Mzabeni makofi huyo [emoji1]
Acha ufala kwenyr ajira kuna mgawanyo wa kazi ndio maana tuna waalimu ,madaltari nk,Wewe unaendesha Boda boda? Au kuna viongozi ndugu zao wanaendesha Bodaboda?;