sayansi haidanganyi. wewe sema awe kama akina magufuli wanamtukuza mungu kumbe ni wauaji, akina Kabudi wanasema tusibagaze nchi kumbe wanatorosha fedha uchina.Siasa ni Sayansi,Siasa pia ni hesabu inabidi kuwa makini sana na maneno na pia namna ya kuzungumza hayo maneno.
Acheni uoga, uoga ni kuwa madhambi yatawekwa hadharani, kilichobaki tubuni madhambi kwa vinywa vyenu wenyewe kabla ya kumwagwa hadharani 😂Toka ametoka nje sijamuelewa maneno yake anaongea vitu ambavyo kisiasa siyo muhimu wala lazima kuvisema,kiufupi havina tija wala maslahi yoyote kwa chama chake...
Utamuelewa tu ukitoka nje ya boxToka ametoka nje sijamuelewa maneno yake anaongea vitu ambavyo kisiasa siyo muhimu wala lazima kuvisema,kiufupi havina tija wala maslahi yoyote kwa chama chake...
Tanguliza Mungu kuwa umeoteshwa, watanzania watabadilika! Kama wanawaamini wahuni kuwa ni manabii/watume wa Mungu why not him! Watu wanaamni kukanyaga mafuta kutawaletea neema hao waambie lolote husisha na mungu watakufuataAsimame tu na hoja yake na kukazia alichokimaanisha.
Btw, hata akibadilisha haitaondoa ile tafsiri ya kwanza...sana sana kutamfanya adharaulike zaidi.
hayo yako, sina ushahidi na hiloLini jambazi mstaafu akajielewa
Bora Lema amekaa mwaka 1 amejionea maendeleo ya canada,je wewe umeshawai fika hata Malawi?Huyo mchizi mimi ananishangaza kakaa Ulaya mwaka mmoja tu anajifanya anajua na kwamba ana majibu ya mambo complex, kuna watu wameishi USA au Ulaya kwa Wazungu miaka hata 40 na wako kimya yeye mwaka tu tayari anajiona anajua kila kitu, na ana majibu yote.
Hapana mwisho wangu ni ChalinzeBora Lema amekaa mwaka 1 amejionea maendeleo ya canada,je wewe umeshawai fika hata Malawi?
Sasa si ndio kashangaa inakuaje watu wanaishi kwa kufanya kazi hatarishi namna hii? Wewe ukienda huko Canada ukakaa hata wiki tatu tu nakuhakikishia ukirudi utakua unashinda unaporomosha matusi tu humu kuwaambia watu ukweli kama anao sema LemaHuyo mchizi mimi ananishangaza kakaa Ulaya mwaka mmoja tu anajifanya anajua na kwamba ana majibu ya mambo complex, kuna watu wameishi USA au Ulaya kwa Wazungu miaka hata 40 na wako kimya yeye mwaka tu tayari anajiona anajua kila kitu, na ana majibu yote.
Mungu anawapenda waovu walioacha njia zao na kumrudia Mungu.Lini jambazi mstaafu akajielewa
Ananikumbusha kitabu tulisoma Sekondari cha Mwandishi Mnigeria nafikiri alikuwa Chinua Achebe kilimhusu jamaa aliyesomeshwa na kijiji mpka Chuo kijiji kikamlipia kwenda Ulaya ili akirudi aje kuwasaidia matokeo yake aliporudi akaanza kashfa na kejeli dhidi ya wanakijiji, amenikumbusha mbali sana, …Bora Lema amekaa mwaka 1 amejionea maendeleo ya canada,je wewe umeshawai fika hata Malawi?
Sasa si ndio kashangaa inakuaje watu wanaishi kwa kufanya kazi hatarishi namna hii? Wewe ukienda huko Canada ukakaa hata wiki tatu tu nakuhakikishia ukirudi utakua unashinda unaporomosha matusi tu humu kuwaambia watu ukweli kama anao sema Lema