sayansi haidanganyi. wewe sema awe kama akina magufuli wanamtukuza mungu kumbe ni wauaji, akina Kabudi wanasema tusibagaze nchi kumbe wanatorosha fedha uchina.Siasa ni Sayansi,Siasa pia ni hesabu inabidi kuwa makini sana na maneno na pia namna ya kuzungumza hayo maneno.
Lema naye awe hivyo sema uongo waambie bodaboda mtakuwa matajiri wakubwa kama Bill gates kwa kazi hiyo,basi maisha yaendelee