Arusha: Yaliyojiri mapokezi ya Godbless Lema, Adai VICOBA ni umasikini, Mama lishe ni utumwa, Samia asitukanwe, Mbowe ampa kazi ya Katiba Mpya

Lema namkubali ila toka amerejea nchini kutoka Canada awamu hii amekuwa tofauti, apunguze roporopo...ajifunze kuongea baada ya kufanya utafiti.
 
Lema namkubali ila toka amerejea nchini kutoka Canada awamu hii amekuwa tofauti, apunguze roporopo...ajifunze kuongea baada ya kufanya utafiti.
Elimu Elimu Elimu ndio tatizo la huyu jamaaa
 
Nimekuwa najiuliza sana! Huyu Lema yafaa aitwe nabii mkuu! Lema alitabiri kifo cha Magufuli baada ya kudai kaoneshwa na Mungu. Kuwa Magufuli atakufa kwa sababu ana utawala mbaya.
Hii kauli ilithibitishwa sikumoja kuwa wabaya ndo ufa! Sisi wazuri hatufi! Ha ha ha!

Kweli Magufuli alikufa. Lema alijua hadi tarehe halali alokufa Rais Magufuli na alikuwa akisema kila mchakato unaoendelea huku yeye akiwa Canada!

Huyu Lema akapiga simu kwa Kikwete kuwa mwendazake kesha ondoka sasa nataka kuja. Kikwete anamwambia sawa hakuna shida unataka kuja lini? Akaambiwa iwe siri asimwambie mtu. Japo Nabii mkuu Lema akamwaga mchele kwenye kuku wengi!

Sasa hapa sitaki kuhoji kwanini Lema ampigie simu Kikwete, na Kikwete aongee na Mama Rais Samia! Nachoamini Lema alikuwa na haki ya kurudi Tanzania bila kumpigia Kikwete simu!

Lema viongozi wote aliokuwa anawaonya litakutokea baya ni kweli walipata hayo mabaya baadhi kwa kutaja tu DC Lengai Ole Sabaya, Makonda, aliekuwa spika Ndugai na wengineo walipatwa na kile Lema alichokuwa akiwaonya?

Sasa Nabii Mkuu Lema kampiga mkwara Nabii mwingine ambaye yeye Lema anaona kuwa kosa la Nabii Mkuu Dr. Geordavie ni kugawa fedha milioni 100 kwa wafanya biashara wadogo. Lema ana muonya na kudai atamuonesha kuwa yeye Lema ni nani?

Nabii Mkuu Lema uongea kwa kujiamini sana anaposema jambo alilo nalo uhakika. Hii inaonesha ana nguvu kubwa pengine alopewa na Mungu (sijui) za kujua mambo haya yote!

Ni vizuri Nabii Geordavie awe makini hapa kakutana na mtu mwenye nguvu za unabii aliewahi tabiri mengi achague kuufyata au aombe po! Ha ha ha! Nacheka tu huu mpambano!

Huyu ndo Nabii Mkuu Lema. Si wakupuuzwa Lema anamengi sana anayoyajua ya nchi hii ya Tanzania.

Usicheze na mtu anae futiwa kesi, na tamko la Rais. Yaani hata mwendesha mashitaka DPP ambaye anadhamana ya kuondoa kesi muda wowote pasipo kuingiliwa hakuongea na Lema bali tamko la Rais tunakufutia kesi. Kweli Tanzania tunahitaji katiba mpya!
Hata katiba yetu ya sasa hakuna inaposema Rais anauwezo wa kufuta kesi kwa kumtamkia mwenye kesi tunafuta kesi yako.

Hivi kuna Nolle yoyote sasa hivi ilipelekwa mahakamani kuondoa hayo mashitaka? Huyu ndo Nabii Lema, kama ilivyokuwa kwa Paulo na Silla walioomba milango ya gereza ikafunguka wakatoka nje ya Gereza.

Huyu ndo Nabii Lema! Usicheze na Lema!
 
Lema ni mhuni tu. Na CCM inamshughulikia yeye na chama chake cha Chadema kwa kutumia "Mbinu Namba Sita" (kulamba asali)! Kumbuka waliishatumia tano kati ya mbinu "afu moja" walizonazo.
 
Akili kubwa hujadili hoja,akili ya kati hujadili matukio na akili ya chini kabisa hujadili watu

"Elimu,Elimu,Elimu"
 
Mbinu za kuhamisha mbinu, hazifanyi kazi.
proselytizing.

Eyo Honest.
Bishop Crowther
Tundu Lissu and now Lema. Good Luck!
 
Walikuwa wanamuita Magufuli mshamba lkn ukiangalia wao (Lema & Co.) ndiyo washamba kwa maana halisi ya neno ushamba, hamna ushamba zaidi ya huu wa Lema.
Ukweli mchungu kwa CHADEMA.

Kalishwa mineno yeye anakuja kujibwabajia. Mshamba mshamba

☑️
 
Acheni upuuzi nyinyi...

Nchi ina laana hii na laana ni CCM ..

Wewe na family yako ndio mna laana walahi [emoji35]
Acha kuitikana nchi, kwani imekulosea nini?
Bipolar psychopath kabisa wewe[emoji35]
 
Calture ndio nini mkuu?.
Typo err! What is Reverse Culture Shock? Reverse culture shock, or re-entry, is simply a common reaction to returning home from studying abroad. It is an emotional and psychological stage of re-adjustment, similar to your initial adjustment to living abroad.
 
Kuna ukweli asilimia kubwa. WaAfrika si wanafiki kama wengine ambao watakuchekea wakiwa na shida lakini wakishapata wanakununia mbali na kukuchukia na kukubagua. Ukiondoa WaAfrika, angalia waliobaki walivyo wabaguzi, wabinafsi na wanafiki wa kutupwa.
 
LEMA toka arejee toka canada amekuja na mambo mapya ambayo ni
1: Watu ni washamba
2: Watu ni maskini
3: Boda boda ni Laana
4: Vikoba mke wangu hawezi shiriki
5: Ugali ni chakula cha Maskini
6: Mimi ni Mchagga
Tangu aende Kanada naona kama marbles zimetoweka. Limefika huko likashindwa kusoma hadi mke wake akalizidi akili. Nenda kasome lau ujue kuchambua bweeeegeee wewe Rema
 
Mkuu Tajiri Tanzanite, hawa ndio Watanzania na huu ndio uelewa wetu, na uchaguzi ukiitishwa leo, Lema anachaguliwa!.
Lema huwa hamung'unyi ni anatema tuu cheche

Niliwahi kushauri humu Lema ana IQ ndogo sana, alichohitaji ni shule, hivyo nadhani akiwa uhamishoni pia ameingia darasani kuongeza vidato vinginevyo Lema ni majanga!. Rais Magufuli, somo la managing diversity kwa Serikali yako linahitajika

Na hata ndani ya Chadema wenyewe Lema ni hatari!. Kinachoendelea CHADEMA Mitandaoni: Je, ni Ushujaa wa Mhe. Lema au ni Udhaifu wa "Kule Juu"?
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…