Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa aiseeNgoja nicheke kidogo😀😀..Lema atabia kama watu wa mikoani waliofika dar miaka ya themanini..ndio anatuletea
Elimu Elimu Elimu ndio tatizo la huyu jamaaaLema namkubali ila toka amerejea nchini kutoka Canada awamu hii amekuwa tofauti, apunguze roporopo...ajifunze kuongea baada ya kufanya utafiti.
Ukweli mchungu kwa CHADEMA.Walikuwa wanamuita Magufuli mshamba lkn ukiangalia wao (Lema & Co.) ndiyo washamba kwa maana halisi ya neno ushamba, hamna ushamba zaidi ya huu wa Lema.
Hapa ungemwambia wazi kabisa akumbuke alikuwa jambazi mwizi wa magari kabla ya kuwa mbunge.mbunge..kumbuka ulikuwa na maisha magumua sana kabla ya kuwa mbunge..
Shida yote ni kutaka kumchafua magu tuNjoo nikuajiri chokx
wewe
sijaona major , middle/minor statement and conclusion.........Mbinu za kuhamisha mbinu, hazifanyi kazi.
proselytizing.
Eyo Honest.
Bishop Crowther
Tundu Lissu and now Lema. Good Luck!
Acheni upuuzi nyinyi...
Nchi ina laana hii na laana ni CCM ..
Hoja yako ni ipi hapa, umeongea kwa kupanick vibaya sana, hata sentensi zako zimekuwa za kujichanganya.
Typo err! What is Reverse Culture Shock? Reverse culture shock, or re-entry, is simply a common reaction to returning home from studying abroad. It is an emotional and psychological stage of re-adjustment, similar to your initial adjustment to living abroad.Calture ndio nini mkuu?.
Kuna ukweli asilimia kubwa. WaAfrika si wanafiki kama wengine ambao watakuchekea wakiwa na shida lakini wakishapata wanakununia mbali na kukuchukia na kukubagua. Ukiondoa WaAfrika, angalia waliobaki walivyo wabaguzi, wabinafsi na wanafiki wa kutupwa.Waambie bodaboda kuwa kazi yenu ni nzuri inalipa, mtakuwa matajiri wakubwa. Endeleeni kwa bidii, itawatoa. Wanataka kusikia hilo.
Kitokacho mdomoni hakirudi: ufanyeje: waambie nimebadilisha maoni, Mungu amenifunulia na kuniotesha. Kazi yenu imebarikiwa, mtakuwa matajiri wakubwa. Umemaliza mkwaruzano/mtifuano.
Ukiandikiwa matusi usome kwa sauti utayatambua kweli?Maendelea gani zaidi ya kupotomosha matusi?
Tangu aende Kanada naona kama marbles zimetoweka. Limefika huko likashindwa kusoma hadi mke wake akalizidi akili. Nenda kasome lau ujue kuchambua bweeeegeee wewe RemaLEMA toka arejee toka canada amekuja na mambo mapya ambayo ni
1: Watu ni washamba
2: Watu ni maskini
3: Boda boda ni Laana
4: Vikoba mke wangu hawezi shiriki
5: Ugali ni chakula cha Maskini
6: Mimi ni Mchagga
Mkuu Tajiri Tanzanite, hawa ndio Watanzania na huu ndio uelewa wetu, na uchaguzi ukiitishwa leo, Lema anachaguliwa!.Cha ajabu na kushangaza utaona wananchi,ambao ni watazania wenzetu wakishangilia kwa upuuzi anaongea jukwaani,apo utafahamu yakwamba watanzania wengi wanafikiria under average line (wengi hawana uwezo wa kureasons)ni wapokeaji kama washabiki wa simba na yanga...ndio mahali anapo patia loophole ya kudanganya.