Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu Lema ashauriwe upepo wa siasa za sasahivi ni tofauti na alivyokua hayupo, watu wanafanya siasa za kistaarabu, sio siasa za chuki, mbona mambo yake mengi bado ni yakuudhi? Kuchochochea chuki tu?Kuna Rais alisema Viongozi watibiwe hospital za uma
Hakuna kwenda india.. tuliona muhimbili inaboreshwa...
Usafiri wa Bodaboda ni sura kubwa ya umasikini.Hii sio kazi/ajira ya kuunga mkono vijana.Kwani ina ujira duni na imeua vijana wengi na athari zake ktk afya ni mbaya.Kazi hii haipaswi kuwa usafiri wa umma.Nchi inaweza kujiondoa kutoka ktk umasikini huu kama tukijali vyema.
CCM imekua mateka wa CHADEMA![emoji23]Mbona sisi watu wa chini tunaona umuhimu wa usafiri wa bodaboda?
Mbona zimesaidia ajira kwa vijana wengi waliokuwa wanahangaika vijiweni.
Acha kuropoka
[emoji116]
View attachment 2538854
Nyani haoni kundule! Miaka 10 bado huoni nini kinakufanya uendelee kwenye hilo jambo kama sio uraibu?!Mie nabeti since 2013 na sijaona nikiwa addicted
Mtamuelewa Lema taratibu.Mbona sisi watu wa chini tunaona umuhimu wa usafiri wa bodaboda?
Mbona zimesaidia ajira kwa vijana wengi waliokuwa wanahangaika vijiweni.
Acha kuropoka
👇
View attachment 2538854