Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lema hakuwawi kuwa mkweli hata siku moja .Jitu linaishi kwa ajili ya siasa halitaki watu wajue kuwa shibe yake inatokana na siasa na hana kazi yoyote ile ya kumwingizia kipatoWaambie bodaboda kuwa kazi yenu ni nzuri inalipa, mtakuwa matajiri wakubwa. Endeleeni kwa bidii, itawatoa. Wanataka kusikia hilo.
Kitokacho mdomoni hakirudi: ufanyeje: waambie nimebadilisha maoni, Mungu amenifunulia na kuniotesha. Kazi yenu imebarikiwa, mtakuwa matajiri wakubwa. Umemalizwa mkwaruzano/mtifuano.
Gongera za Lema ;Lema aongeze sindano nyingine, bado kuna kazi zingine za kishenzi zipo ingawa zinaonekana ni njema, huko nako akawashe moto msitu huo majoka yenye sumu kali yatoke
Maendelea gani zaidi ya kupotomosha matusi?Bora Lema amekaa mwaka 1 amejionea maendeleo ya canada,je wewe umeshawai fika hata Malawi?
Sio tu ushamba ,nadhani hakuna kitu kibaya kama unajiona una akili kumbe ni ZERO .Lema ana tatizo la “Deep seated illiteracy”Walikuwa wanamuita Magufuli mshamba lkn ukiangalia wao (Lema & Co.) ndiyo washamba kwa maana halisi ya neno ushamba, hamna ushamba zaidi ya huu wa Lema.
Lema ana tatizo lifuatalo “a reverse calture shock “ na haina dawa kabisa kwa kuwa imemkuta akiwa mtu mzima tayariWaambie bodaboda kuwa kazi yenu ni nzuri inalipa, mtakuwa matajiri wakubwa. Endeleeni kwa bidii, itawatoa. Wanataka kusikia hilo.
Kitokacho mdomoni hakirudi: ufanyeje: waambie nimebadilisha maoni, Mungu amenifunulia na kuniotesha. Kazi yenu imebarikiwa, mtakuwa matajiri wakubwa. Umemalizwa mkwaruzano/mtifuano.
Hakuna shaka huyu anayejiita nabii ni agent kweli kweli wa ibilisi. Tena fuska hadi kuzaa na mke wa mtu. Watu hivi wamelogwa mpaka wamsikilize eti anahubiri neno la Mungu? Watu wasioijua wala kuisoma Bible ndio wahanga wa huyu agent wa ibilisiNi muendeleolzo wa muinjilisti Lema na Mwanasiasa anaeongea ukweli siku zote.
Zikiwa ni siku kadhaa tangia amerudi mafichoni Canada na kuja kumkalia kooni Nabii wa Mchongo Deodavie ya kuwa ni mpuuzi mmoja anaeaminiwa na watu walikosa maarifa.
Lema anasema kuwa maisha ni magumu halafu Nabii anatangaza kuwa kutakuwa na maombi ya kufungua vifungo na baraka kwahiyo tumeni michango yenu elfu 20. Wakati hiyo elfu 20 mwananchi alitakiwa kwenda kununua unga na mchele ukale na familia yako, lakini watu wanaenda kutoa kwa Nabii Deodavie.
Lema endeleaa kuwapiga spana hawa watu.
Lema kaishiwa Sera .Sasa Watu wako bizzy na Mambo Yao yeye anapayuka tu .Wakati tunajua Kabisa yeye Ni Msaliti wa Nchi alijifanya Mkimbizi wa Kisiasa Wakati Tz hapakuwa na anayemtaka yeye Wala hakuwa na madhara yoyote .Aliyemtengenezea Ukimbizi wa Kisiasa tunamjua dili Hilo alipewa Zitto akalitema .Lengo lao lilikuwa ni kumchafua JPM Kisiasa tu na yule Mwanadiplomasia wa Mchongo tunamjua aliyewapa Semina.Ni muendeleolzo wa muinjilisti Lema na Mwanasiasa anaeongea ukweli siku zote.
Zikiwa ni siku kadhaa tangia amerudi mafichoni Canada na kuja kumkalia kooni Nabii wa Mchongo Deodavie ya kuwa ni mpuuzi mmoja anaeaminiwa na watu walikosa maarifa.
Lema anasema kuwa maisha ni magumu halafu Nabii anatangaza kuwa kutakuwa na maombi ya kufungua vifungo na baraka kwahiyo tumeni michango yenu elfu 20. Wakati hiyo elfu 20 mwananchi alitakiwa kwenda kununua unga na mchele ukale na familia yako, lakini watu wanaenda kutoa kwa Nabii Deodavie.
Lema endeleaa kuwapiga spana hawa watu.
ana biashara zake kubwa tu alisema mwenyeweLema hakuwawi kuwa mkweli hata siku moja .Jitu linaishi kwa ajili ya siasa halitaki watu wajue kuwa shibe yake inatokana na siasa na hana kazi yoyote ile ya kumwingizia kipato
Tatizo huwa hamtaki kuambiwa ukweliii, yaani mmezoea kuingizwa mkenge na hawa manabii feki..Kwani Lema Ana ugomvi gani na uyo nabii au nabii katangaza kuchukua fomu 2025 nini?
Achana na personal attacks kwa Lema, hoja yake ni uongo??Lema kaishiwa Sera .Sasa Watu wako bizzy na Mambo Yao yeye anapayuka tu .Wakati tunajua Kabisa yeye Ni Msaliti wa Nchi alijifanya Mkimbizi wa Kisiasa Wakati Tz hapakuwa na anayemtaka yeye Wala hakuwa na madhara yoyote .Aliyemtengenezea Ukimbizi wa Kisiasa tunamjua dili Hilo alipewa Zitto akalitema .Lengo lao lilikuwa ni kumchafua JPM Kisiasa tu na yule Mwanadiplomasia wa Mchongo tunamjua aliyewapa Semina.
Achana na Watumishi wa Mungu fanya Siasa zako zinazohusu wewe kanisa halimlazimishi Mtu kufika ibadani ni wewe na kiherehere chako kufutilia Mambo ya Watu. Kama unaona Nabii hafundishi vema fungua kanisa Wafuasi wako wakufuate acha kuingilia Imani za Watu.
lema endelea kupiga za chembe!Ni muendeleolzo wa muinjilisti Lema na Mwanasiasa anaeongea ukweli siku zote.
Zikiwa ni siku kadhaa tangia amerudi mafichoni Canada na kuja kumkalia kooni Nabii wa Mchongo Deodavie ya kuwa ni mpuuzi mmoja anaeaminiwa na watu walikosa maarifa.
Lema anasema kuwa maisha ni magumu halafu Nabii anatangaza kuwa kutakuwa na maombi ya kufungua vifungo na baraka kwahiyo tumeni michango yenu elfu 20. Wakati hiyo elfu 20 mwananchi alitakiwa kwenda kununua unga na mchele ukale na familia yako, lakini watu wanaenda kutoa kwa Nabii Deodavie.
Lema endeleaa kuwapiga spana hawa watu.
Calture ndio nini mkuu?.Lema ana tatizo lifuatalo “a reverse calture shock “ na haina dawa kabisa kwa kuwa imemkuta akiwa mtu mzima tayari